Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji1787][emoji1787] Nilijua tu hivi unajua utakufa juu ya mahela umeyashikiliaNataka hela [emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787] Nilijua tu hivi unajua utakufa juu ya mahela umeyashikiliaNataka hela [emoji12]
Ss tena kila sehemu tuko vizuri[emoji847]Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa Wazalishaji bora usiku huu December 17,2023 Jijini Dar es salaam ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba kwenye suala la changamoto ya uhaba wa dola linalozikabili Nchi nyingi duniani, Tanzania ipo vizuri ukilinganisha na wengine na Serikali inaendelea kupambana ili kuhakikisha Tanzania haiendi chini kwenye uhaba kama Nchi nyingine.
“Suala la dola nataka niwape faraja pamoja na changamoto tulizonazo Tanzania tupo vizuri na tumewaacha wengine mbali kwenye ukanda wetu, angalau sisi tunamudu kama alivyosema Waziri ninapokwenda naambatana na Wafanyabiashara pamoja na kwamba Wafanyabiashara wanajilipia lakini dola zilezile zinatoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) lakini tunakwenda wengi , angalau tumeongeza kiwango cha kutoa kwa siku “
“Ilivyokuwa crisis kali tulikuwa tunatoa dola laki 5 kwa Mtu kwa siku tukapandisha milioni 1, tukapandisha milioni 2 , we are far far better, kuna Majirani zetu leo hata dola laki 5 kwa Mtu kwa siku hakuna, hawana kwahiyo tuko vizuri”
“Na kwenye hili suluhisho tunaweza tukalipata humuhumu ndani, Serikali tumeanza kuchukua hatua ya kupunguza kwa kiasi kikubwa yale mambo tunayoagizia nje ni mpango wetu kuangalia njia zote za kupunguza gharama za uagiziaji ili tupunguze matumizi ya dola, pia tumeanza kujihusisha na mambo yatakayoleta dola harakaharaka na ndio maana mnasikia tumejihushisha sana na Sekta ya Kilimo hususani kinacholeta mazao harakaharaka ili tunavuna, tunauza na dola inaingia harakaharaka”
“Lakini nyinyi ni Mashahidi kwamba Sekta ya Utalii imekua sanasana sana na ile imetusaidia kuleta dola ndani ya Nchi kwahiyo tunachukua hatua na hali yetu sio mbaya sana pamoja na kwamba hampati jinsi mnavyotaka lakini Serikali inajitahidi kuhakikisha kwamba hatuendi chini kama walikofika wenzetu, imani yangu wenye viwanda mtatusaidia kupunguza uhaba wa dola mtakapozalisha na kuuza nje”
View attachment 2845652
Eeh wanasema mama anaupiga mwingiSs tena kila sehemu tuko vizuri[emoji847]
Mie kwakweli ninalo jambo.Sijambo auntie yangu mzuri mzuri vipi wewe
Hahhaha auntie sitaki hata kulisikia jambo lako baki nalo tuMie kwakweli ninalo jambo.
[emoji1787][emoji1787] Kaka angu usinidanganye