Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Wakubwa wapo itasoma tu ,muda badoKuna niniiiiii nipo busy na kujibu wishes za birthday jamaniii msiniiite kama miamala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakubwa wapo itasoma tu ,muda badoKuna niniiiiii nipo busy na kujibu wishes za birthday jamaniii msiniiite kama miamala
Asante sana we mzee barikiwaHahahaha,happy birthday,kumbe ni leo
Kwamba we unajitoa si ndio ebu [emoji1787]Wakubwa wapo itasoma tu ,muda bado
Hahahaha,mie tena?Kwamba we unajitoa si ndio ebu [emoji1787]
Ubarikiwe zaidi na uwe na maisha bora mazuri furaha amani na marefu , Mungu akulindeAsante sana we mzee barikiwa
Hutaki kunitumia zawadi unajitoa si ndioHahahaha,mie tena?
Ameen Ameen jamaniiii tubarikiwe sote we mzee [emoji120][emoji3059]Ubarikiwe zaidi na uwe na maisha bora mazuri furaha amani na marefu , Mungu akulinde
Ndio manini hayo?[emoji1787] Ni leo yaani nipo busy
Asante auntie yangu nikupendae tuma na muamama sasa [emoji1787]
[emoji1787] Unajua typing error na unajua nini nilimaanisha tuma muamalaNdio manini hayo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimekuja...Njoo nikwambie kitu dada[emoji12]
Hahahaha,dah sijajitoa ila siwezi kuwa kimbelembele ,ila unaeza pata , zawadi si yoyote tu inatosha?Hutaki kunitumia zawadi unajitoa si ndio
Asante auntie yangu mzuri mzuriii, asante kwa kuwa pembeni yangu [emoji3059][emoji120] nakupenda mnoooooTo my Auntie Shunie
A very Happy birthday to you Mama
Ahsante kwa kila kitu kwangu...I wish ningekuwepo leo..Maana hunaga jambo dogo Auntie yangu wewe[emoji1]
Huyu Yesu na azidi kukutunza.....Baraka zake ziwe na wewe kila iitwapo leo...
Nakupenda.
Hapana zawadi ni miamala we mzee [emoji1787]Hahahaha,dah sijajitoa ila siwezi kuwa kimbelembele ,ila unaeza pata , zawadi si yoyote tu inatosha?
Hahahaha hapo kwenye miamala hapo ndio utata, maana hujui muamala gani ndio standard ya muhusika , ktk hili la miamala ngoja nimuachie Lee Na wadau wengine , nisijichanganye bure ...Happy birthday againHapana zawadi ni miamala we mzee [emoji1787]
Afadhali , huko ktk miamala wako wadau wakuuHapana zawadi ni miamala we mzee [emoji1787]
We bwanah we unapendaga kujishtukia [emoji1787]Hahahaha hapo kwenye miamala hapo ndio utata, maana hujui muamala gani ndio standard ya muhusika , ktk hili la miamala ngoja nimuachie Lee Na wadau wengine , nisijichanganye bure ...Happy birthday again
Sawa niache na wadau wa miamala [emoji1787] mzee wa kujishtukiaAfadhali , huko ktk miamala wako wadau wakuu
HahahahaSawa niache na wadau wa miamala [emoji1787] mzee wa kujishtukia