Makapuku Forum

Makapuku Forum

Huwa napita na kusoma kimya kimya almost kila siku, kuna siku nimepita saa 10 alfajiri nikakuta umepost tayari.... unajitahidi sana kwa kweli

Sio wote wanaweza kufanya hicho unachofanya, na ingekuwa tupo jirani ungekunywa soda kwa bili yangu leo [emoji847]

Very proud of you [emoji122]
Babu leo nafarijika sana sanaa [emoji120][emoji120] babu sio lazima nize jirani mitandao siku hizi imerahisisha kila kitu unaweza tu kunitumia nilipo nikanywa tu babu [emoji1787] asiione auntie yangu Atoto
 
Back
Top Bottom