Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha..wapi nimewahi kukabwa shangazi? Sio mmu wala chit-chat hakuna wakunikaba shangazi..nasitarajii kukabwa na yoyote yule labda labda .....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyu mzee anakabwaga mmu uko au chit chat majukwaa mengine