Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
😂😂😂Kuanzia leo usinifuate Yani unaenda huko kwa Waarabu wasukuma weeeeeh😳 Sasa mi saivi niko feri huku kayenze kesho nikuletee sato au sangara?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Kuanzia leo usinifuate Yani unaenda huko kwa Waarabu wasukuma weeeeeh😳 Sasa mi saivi niko feri huku kayenze kesho nikuletee sato au sangara?
😂 Ushafikaga huku nini? We mida ile serious ungekuja usingejuta. Ila nikirudi nikupitie tuelekee kigoma? Maana nafika mpaka katubuka kama utapenda utalii wa ndani niambie Lovelovie😂😂😂Kuanzia leo usinifuate Yani unaenda huko kwa Waarabu wasukuma weeeeeh
Sasa we ndio hujui ukiwa na ka milioni hivi ndani ya mwaka hapo katubuka unakuwa na zaidi ya milioni 20. Kuna mishe chafu chafu sana za hela.Huko naenda sana
Mim huko Kigoma hapana siendi aiseh
Hapana siji ntauza tu skanka huku hukuSasa we ndio hujui ukiwa na ka milioni hivi ndani ya mwaka hapo katubuka unakuwa na zaidi ya milioni 20. Kuna mishe chafu chafu sana za hela.
Bado utaendelea kung'ang'ania hapo kwenu huchoki maswali ya wadogo zako dada unaolewa lini?Hapana siji ntauza tu skanka huku huku
Kwetu sitoki hadi utoe mahali😂😂😂😂😂Bado utaendelea kung'ang'ania hapo kwenu huchoki maswali ya wadogo zako dada unaolewa lini?