Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ufafanunuziii pleaseeee aliuawa vipiiii alikuwa kwenye kuigiza au vipi
Mwigizaji wa Pirates of the Caribbean Tamayo Perry amefariki Dunia baada ya kushambuliwa na papa kwenye pwani ya Hawaii alipokuwa anakula bata na marafiki zake.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 49 amefariki jumapili mchana. Madakari kwenye hospitali moja huko Honolulu wamethibitisha kwenye mkutano na waandishi habari.
Huduma za dharula ziliitwa mnamo saa 7:00 mchana kwenye ufukwe wa Malaekahana.
Pamoja na kuigiza lakini pia Perry anafanya kazi ya uokoaji kwenye ufukwe huo.
BBC
 
Aiseeee, Asante sana kwa maelezo
 
Back
Top Bottom