Makapuku Forum

Makapuku Forum

Juma la kwanza katika mwezi wa mwisho wa 2024. Siku zimekimbia na kwa baadhi yetu tunaopata likizo kipindi cha June, tunaona ni kama jana tu tulikuwa likizo, na hatujajipanga kwa ajili ya likizo nyingine ya 2025, Mungu tupe maisha. Naam, ndugu yenu ni kama mwanafunzi au mwalimu, likizo zangu ni pale shule zinapokuwa zimefungwa (shule za wengi).

Kwa wadau wenye vibarua/kazi tunajua tunafanya kazi na watu wa silika tofauti na hapa leo nataka kukuonesha tabia ambazo huoneshwa na mtu/watu ambao hujiona wa muhimu kuliko uhalisia. Mtu wa namna hii huonesha tabia kadhaa bila yeye kujijua na hivyo huathiri mahusiano yake na watu wengine.
Kumbuka, kuna mstari mwembamba sana unaotofautisha kiburi na kujiamini, thamani yako halisi na kujipandisha mabega na hapa ndipo hoja ya mmoja kusisitiza mafanikio binafsi hata pasipotakikana. Hakuna ubaya kueleza mafanikio yako, lakini haileti maana na ni kiburi kukaa unayaelezea kila siku kwa watu wale wale kwenye matukio yaleyale. Muhimu, hatuwezi kuishi kwenye jamii ambayo mmoja ni kujisifu tu bila kutambua mafanikio ya wengine.

Jipe nafasi ya kusikiliza zaidi msimu huu wa sikukuu kuliko kusikilizwa.

Nitaandika tena maana sijachoka kukutakia wakati mzuri katika msimu huu wa sikukuu.

MALCOM LUMUMBA kitambo sana mdau, kila wakati ni furaha kukuona wewe na wadau wote humu Jukwaani
Asante binamu
 
As a man it's always necessary to act broke. Act like a useless man. Have more that you show and speak less than you know. It's very dangerous to showcase what God is doing in your life around unhappy people.

My life became private once I learned it's not your enemies you have to worry about.

And we often talk and flaunt than necessary because of our fundamental insecurities which bolsters us to seek affirmation and recognition. Fundamental Insecurities are a greatest source of Pride.

Eniwei, it's good to see you Brother Obe , Please Receive my earliest Christmas and Happy New Year greetings.
MTU WA MAANA KABISA
 
right on man... a true threat, all the time, may come from those who appear friendly, giving us hugs and 'supportive. I am into those who can criticize me, helping me grow and above all, work on my self-doubts. New year resolutions, ta-da!!!!1. Knowing the risks of misplaced trust, keeping my cards close to my chest, cautious. .....with all that, hoping you are not choosing to live a fear based life pal
Noeli Njema kaka, hapa ni sehemu nzuri kuwepo sababu kuna watu wema kama wewe. Hoping wadau wote humu tutakuwa na msimu mzuri wa sikukuu. Night shifter najiiba kwa kuangalia soka kuangalia soka
 
Mnakumbuka miaka ya 2009, naongelea vijana wenzangu enzi hizo tuliobahatika mikono yetu kushika simu za mkononi. Naam, enzi hizo achana na Nokia, unyama ulikuwa Blackberry, yeah, simu ya maana kabisa ambayo ilikuwa haikamatiki duniani, bbei yake ilitisha na ilikuwa ni kwa watu maalum.

Soko walilishika, likashikika na kisha wakaibuka kina Apple na bidhaa zao, wakawatingisha si kitoto, wakaanza kutengeneza hasara na biashara ya simu ikawa sio kitu tena.
Kwa sasa wamejikita kwenye kutengeneza software za ulinzi wa mawasiliano na asilimia kuwa ya software zao zinatumika kwenye magari ya kisasa.

Point kubwa hapa, ukiona kilichokupa jina kinazingua, ni vizuri kuachana nacho na kuanza kitu kingine kabisa. Karibu kwenye mawazo yangu ya kijirowe.

Najikumbusa enzi zile naandika kila saa mbili kabla ya kulala maana kuandika na kusoma ni kitu napenda
 
Cheers Mate
 
Asante sana binamu
 
Ni furahiday leo, na kama kawaida, ni siku ambayo tuna have an easy one. Hakuna presha kama za jtatu. Huna haja ya kutaka kujua vijana wafirigiswa wa CCM wanajipangaje kumjibu jaji Warioba na ukiwa kama mimi, usiskitishwe na ajali ya wabunge, ajali ni ajali. Ila wajinga wale sijui kwanini wamepona, kufutwa kwa sherehe za uhuru wa Tanganyika kungekuwa replaced na maombolezo ya hawa jamaa waliokuwa wanaelekea kutafuna kodi zetu Mambasa. Yote maisha, wamepona tunashukuru, wakiliza matibabu warudi kugonga meza na kupiga makofi mengi bungeni kumpongeza spika anayemtaka zirael kumpa siku nyingi za kuishi

Ningekuuliza una plan gani lakini mfukoni kwako nakujuaje!!? Hata nikikuambia maeneo ambayo hutatumia mia inasaidia nini ikiwa ulipo wewe mimi sipo na nilipo wewe hupo. Usiwaze sana, uchaguzi ni wako
Furahia a long weekend, siku tatu za wikend, na usisahau 'homework' maana chumbani kwako ni darasani.
 
Magazeti ya leo December 7, 2024.
 
Attachments

  • IMG_6277.jpeg
    IMG_6277.jpeg
    1.1 MB · Views: 2
.
 
Attachments

  • IMG_6287.jpeg
    IMG_6287.jpeg
    1,012.3 KB · Views: 0
  • IMG_6288.jpeg
    IMG_6288.jpeg
    1.3 MB · Views: 1
.
 
Attachments

  • IMG_6289.jpeg
    IMG_6289.jpeg
    1.4 MB · Views: 0
  • IMG_6290.jpeg
    IMG_6290.jpeg
    1.3 MB · Views: 0
.
 
Attachments

  • IMG_6291.jpeg
    IMG_6291.jpeg
    1.3 MB · Views: 3
  • IMG_6292.jpeg
    IMG_6292.jpeg
    1.4 MB · Views: 1
.
 
Attachments

  • IMG_6293.jpeg
    IMG_6293.jpeg
    1.5 MB · Views: 3
  • IMG_6294.jpeg
    IMG_6294.jpeg
    1.4 MB · Views: 1
Back
Top Bottom