Makapuku Forum

Makapuku Forum

.
 
Attachments

  • IMG_6151.jpeg
    IMG_6151.jpeg
    1.2 MB · Views: 1
  • IMG_6152.jpeg
    IMG_6152.jpeg
    1.5 MB · Views: 2
...ndani ya mchuma wa mswidi kitu Scania, jiko ndani kitanda ndani na ka-tv ka kizushi kameunganishwa na satelite, mawimbi hayakosekani, barabarani unapata kipupwe cha bahari ya Hindi. Na umeshatembea masaa manane unastahili kupumzika kwa nusu saa, mpira umeisha na wamegongwa tena.
Goma unaliamsha tena maana wimbo wa Kasongo mbona yeyooo ndo unaanza hapa. Unapunguza mwendo kumpa high five traffic officer, mdada wa nguvu ambaye kakukumbusha tena msimu wa sikukuu anataka kuja Mtwara kuogelea ufukwe wa Shangani. Unatabasamu huku unaitafuta Mnazi Mmoja uingie zako Lindi maana hapo ndipo safari itakomea.
Karibuni Lindi msimu huu wa sikukuu
 
🤣🤣
 
Back
Top Bottom