Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Heri ya siku yenu wanaume wote wa makapukuMwanaume makini anafanya kile kilicho muhimu kwake na hajali kile wengine wanasema kuhusu yeye. Pongezi kwa wanaume wote ambao tunaamini katika haki na mafanikio kwetu binafsi, kwa wale tunaowafahamu na kwa kila mtu.
Leo ni siku ya kimataifa ya wanaume, fyi na ninaandika haya nikiwa na tai shingoni, kiatu cheusi, suruali ya khaki na mkononi nina saa inayoniambia amka ukafanye kazi