Numero Uno
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 607
- 1,302
Mtandao nao umekuwa changamoto, ...nimemsikia mmoja akiwa hapo kwa jirani anasema "mtandao unazunguruka tu hamna kitu"Huo ujinga ndiyo umesababisha kuchelewa zoezi,mitaa mingi dsm haijagiswa kabisa
Mpelekee motoKarani wa sensa kaja kuhesabu nzengo yangu, kabanwa na mchafuko wa tumbo. Yuko huko maliwatoni anaomba nimpelekee taulo la kike
Wajumbe hawanaga SIRIHiyo kazi ingeweza kufanya na wajumbe wa nyumba kumi kwa kuwapelekea wananchi dodoso siku chache kabla wazijaze. Swali la tarehe 23 August ni moja tu. Swali la kwanza. Wajumbe wangezikusanya na kuzihakiki tu ndio ziingizwe kwenye vishikwambi.
Kazi kweli kweli!Hatimaye Tz limekuwa taifa la masihara tu
Ngoja nimuulize kama anavuta sigaraMpelekee moto