Makarani wa sensa kuigiza ni sahihi?

Makarani wa sensa kuigiza ni sahihi?

Hiyo ni part time activity, watu waki like inaongeza mapato huko youtube, mpaka amalize sensa atapata pesa nyingi
 
Mtaani kwangu makarani wanatembea na vishikwambi masaa 24 hadi bar wako navyo. Ushamba mzigo sana
 
Huo ujinga ndiyo umesababisha kuchelewa zoezi,mitaa mingi dsm haijagiswa kabisa
Mtandao nao umekuwa changamoto, ...nimemsikia mmoja akiwa hapo kwa jirani anasema "mtandao unazunguruka tu hamna kitu"
 
Sasa unataka wamalize kazi ndani ya siku moja.? Waache wapoteze muda ili kazi ivute siku nyingi zaidi.
 
Ndo maana wengine hawajafikiwa video zao zipo nyingi mtandaoni
 
Hiyo kazi ingeweza kufanya na wajumbe wa nyumba kumi kwa kuwapelekea wananchi dodoso siku chache kabla wazijaze.

Swali la tarehe 23 August ni moja tu. Swali la kwanza. Wajumbe wangezikusanya na kuzihakiki tu ndio ziingizwe kwenye vishikwambi.
 
Hiyo kazi ingeweza kufanya na wajumbe wa nyumba kumi kwa kuwapelekea wananchi dodoso siku chache kabla wazijaze. Swali la tarehe 23 August ni moja tu. Swali la kwanza. Wajumbe wangezikusanya na kuzihakiki tu ndio ziingizwe kwenye vishikwambi.
Wajumbe hawanaga SIRI
 
Back
Top Bottom