Makarani wa sensa kuoneokana kutoonekana kwenye kaya ni matokeo ya mawasiliano yasiyo kamilifu kutoka kwa serikali

Makarani wa sensa kuoneokana kutoonekana kwenye kaya ni matokeo ya mawasiliano yasiyo kamilifu kutoka kwa serikali

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Sielewi ni nani alitufanya tuamini kuwa sensa ni zoezi la siku moja ( 23.08.2022) mpaka ikafanywa kuwa siku ya mapumziko.
 
Tuhesabiwe, Wenyewe Hawajui Wamekosea Wapi Mpaka Sasa Hivi
 
Sijui tumerogwa na nani, ni bora ingekuwa tu siku yaa kazi tujue moja. Me nimekaa nyumbani ndiyo nimetoka muda si mrefu alafu hata hawajakuja aisee, nadhani dodoso ni refu sana halijaziki kwa haraka
 
Sielewi ni nani alitufanya tuamini kuwa sensa ni zoezi la siku moja ( 23.08.2022) mpaka ikafanywa kuwa siku ya mapumziko.
zoezi la sensa likiendelea karani ajinyonga mkuu
FB_IMG_1661267448853.jpg
 
Walipoanza kutangaza kazi za ukarani wa Sensa kwa favor ya wenye kadi za CCM nilitabiri mapema kuwa zoezi hili litaishia kuwa kichekesho tu.

Mpaka jioni ya leo wanakazana kutupatia picha za viongozi wakiwa wanahesabiwa lakini mitaani hawaonekani.

Sasa siku ya mapumziko ya lazima hakuna cha maana mtaani, mziki watausikia kuanzia kesho watu watakapotawanyika kwenye mitikasi yao.

CCM ni sumu kwa kila jambo inalitia mkono wake. Yaani ina GUNDU!
 
Huenda na makarani nao wamepumzika siku ya leo.
Au leo ni maalumu kwa wale watu mashughuli kama viongozi na kina nanihii.
Watapanda walichovuna wameweka watu incompetent kwa ubinafsi wao.
 
Huenda na makarani nao wamepumzika siku ya leo.
Au leo ni maalumu kwa wale watu mashughuli kama viongozi na kina nanihii.
Watapanda walichovuna wameweka watu incompetent kwa ubinafsi wao.
Inawezekana mkuu
 
Nasikia MWIGULU yupo ikulu anaomba kwa mama yake kibali amruhusu atumie Ile teknolojia aliyotumia kwenye kura za maoni kuandika ndani ya saa 24 kwenye mawe nchi nzima chagua mwigulu
 
Back
Top Bottom