Walipoanza kutangaza kazi za ukarani wa Sensa kwa favor ya wenye kadi za CCM nilitabiri mapema kuwa zoezi hili litaishia kuwa kichekesho tu.
Mpaka jioni ya leo wanakazana kutupatia picha za viongozi wakiwa wanahesabiwa lakini mitaani hawaonekani.
Sasa siku ya mapumziko ya lazima hakuna cha maana mtaani, mziki watausikia kuanzia kesho watu watakapotawanyika kwenye mitikasi yao.
CCM ni sumu kwa kila jambo inalitia mkono wake. Yaani ina GUNDU!