MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Na gia yenu Kubwa hiyo Mida huwa mnajifanya Vishkwambi vyenu vimeisha Chaji hivyo mnaomba mvichaji kumbe Timing yenu Kuu huwa ni Kuwepo katika Ratiba zetu za Kula mkijua kuwa Watanzania ni Wakarimu hivyo mtakaribishwa na mtakula tu.
Kuna Mwenzenu leo kajua kwanini Nyoka hana Ugoko au kwanini Wimbo wa Taifa hauna Kolabo baada ya kuja na hii Mbinu ambapo muda wa Kula ulipofika nikaomba Mjuba wa Kipemba Nungwi Nitengewe Chakula changu Mwenyewe na akawa ananiangalia kwa Huruma ila Nikala hadi mwisho na Yeye akaishia tu Kunikodolea.
Baadae nikaona kaja Mwenzake Mmoja na nikamsikia akiniteta kuwa Nimekaza sana hata sijamkaribisha Chakula na Mwenzake nae akanitizama kwa Kuibia ibia na kumsikia akisema kwa Sura yangu ilivyo ya Kikauzu ( Ngumu ) hata kama ningemkaribisha hicho Chakula kingegoma kupita Kooni Kwake na angekitapika hivyo ashukuru tu Mwenyezi Mungu.
Yaani kila Siku nasikia Makarani wa Sensa mnapewa Shilingi Elfu Arobaini na Tano ( Tsh 45,000/= ) Hela ya Chakula ikiwemo halafu bado mnataka Kudoea Vyakula vyetu Sisi Hustlers ili mteleze tu katika Ganda la Ndizi kisha mkajisifu.