Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 639
Kumekuwako taarifa zinazozagaa kwa kasi ya ajabu kuwa makarani wa tume ya katiba wanaodaiwa kuiwa ni wengi wa dini ya kiislamu wamekuwa wakichakachua maoni ya wanachi hasa wakristo wanaopinga uwepo wa mahakama ya kadhi na tanzania kuwa nchi ya kiislamu.aidha ujumbe mfupi wa maandishi yaani sms umekuwa ukisambazwa kwa kasi na unasomeka hivi,"pigo kwa kanisa,makatibu wa tume ya katiba ni waislamu,wamechakachua maoni ya wakristo waliopinga mahakama ya kadhi na kubakisha mwanza na mbeya,mikoa iliyobaki wanahitaji mahakama ya kadhi,tujipange kwenye kura za maoni kuikataa rasimu ya katiba.je, haya yana ukweli wa aina yoyote? Je ni madai ya msingi? Kama ni kweli mustkabali wa taifa upo salama?kama ujumbe huu umewafikia wahusika wa tume kuna haja ya kuchunguza na kuchukua hatua?tujadili.