Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hili jambo la mahakama ya Kadhi linakuzwa kuliko lipasavyo. Mahakama za hivi ( za kiislamu au dini nyinginezo ) ziko nchi nyingi na sinarahisisha sana watu kupata ufumbuzi wa matatizo yao ya kisheria. Hizi ni kama vyombo vya upatanishi au ufumbuzi. Kwanza hazihukumu mtu ambaye hataki kuhukumiwa nazo, hazihukumu watu wa dini au mila nyingine tofauti nazo. zinarahisisha na kupunguza gharama za mahakama sababu waumini wote watakubali uamuzi bila mapingamizi. Na mahaka hizi zaidi sinashughlikia kesi za kifamilia kama urithi, kuachika, haki za malezi n.k. Hazijihusishi na kesi za jinai.
tume ya katiba mpya lile ni baraza la maimamu,tusitegemee jipya..mbona wenye kuona mbali swala la katiba mpya ni kiini macho.