Makarani waislamu wa tume ya katiba wanachakachua maoni ya wakristo.

Makarani waislamu wa tume ya katiba wanachakachua maoni ya wakristo.

Status
Not open for further replies.
Aliyetengeneza huo ujumbe na kuusambaza ana nia ovu,anataka sii tu kuharibu mchakato mzima wa ukusanyaji maoni,bali anataka kuleta tafrani katika nchi.
 
Hili linawezekana hasa ukiangalia idadi ya wajumbe ktk Tume kwa upande wa dini ya kiislam ni wengi.!Na hii ndo impact ya zenji kwa bara,watu milion 1 na laki 3 halafu tunagawana 50% wajumbe ..watafanyiwa Watanganyika haiwezekani kwingineko.
 
Tume wajitokeze watoe ufafanuzi wa tuhuma hizi.la sivyo wanajiandaa kuiingiza nchi pabaya.
 
Mi nafikiria muandishi hakuon l kuandika, lkn km atazungumzia udini ktk huo mchakat w katib walio wengi nwakirist so waislam wakichakachua maon jee walio wengi watawaachilia wafnye hivyoo?, tafut la maan ili 2changie!.
 
Nchi hii waislamu walio wengi wako ki western zaidi. Watapata shida hao sijui hizo suruali za kina diamond zitavaliwa wapi. Na ajira zao zitaota mbawa. Mwendo wa dont touch my shoes. Shoes zenyewe malapa. Patamu hapo. We shall miss our pork
 
Waislamu na Wakiristo tuwe pamoja, tusiwape nafasi wahalifu wachache kutugawa. Badala yake tuunganishe nguvu zetu tuwabaini wakamatwe. Nia ya wahalifu ni kutugawa kwanza kidini ili wapate nafasi ya kuendelea na uhalifu wao wakati sisi tukigombana wenyewe kwa wenyewe au kugombana na serikali yetu. Mbinu zao hizo tuzijue na kuzikwepa, ndizo walizotumia katika nchi nyingine.
 
Siwezi kushangaa sana kulingana na taifa lilivyogawanyika sasa hiki kiasi cha kuuana kwa sababu ya tofauti za dini.
 
Hiyo ni moja kati ya msg za uchochezi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mbona hili jambo la mahakama ya Kadhi linakuzwa kuliko lipasavyo. Mahakama za hivi ( za kiislamu au dini nyinginezo ) ziko nchi nyingi na sinarahisisha sana watu kupata ufumbuzi wa matatizo yao ya kisheria. Hizi ni kama vyombo vya upatanishi au ufumbuzi. Kwanza hazihukumu mtu ambaye hataki kuhukumiwa nazo, hazihukumu watu wa dini au mila nyingine tofauti nazo. zinarahisisha na kupunguza gharama za mahakama sababu waumini wote watakubali uamuzi bila mapingamizi. Na mahaka hizi zaidi sinashughlikia kesi za kifamilia kama urithi, kuachika, haki za malezi n.k. Hazijihusishi na kesi za jinai.

Mkuu Wakristo hawapingi kuwepo mahakama ya Kazi ila wanachopinga ni kutumia kodi zao kuendeshea hiyo mahakama. Kama kwa waislam ni lazima basi wafanye harambee misikirini ili wapate fedha ya kuziendesha hizo mahakama za kidini.
 
Mahakama za kadhi ziwepo ila kwa gharama za Bakwata na waislam kwa ujumla!hata JK aliwajibu waislam mwaka jana kwenye sherehe za CCM pale Dodoma,kama hawaamini wanadhani itabadilika na serikali kuchukua jukumu hilo walie na imekula kwao mazima
 
Mbona siwaelewi, yaani kuwepo wazanzibari kwenye tume imeshakuwa baraza la maimamu, na pia wanachakachua maoni, mbona wazanzibari hawaitaki necta kwa kuwa ina wabara tupu nao pia wanasema wanafelishwa mbona hili hamuwaungi mkono, au pia waislamuu wanalalamika kuwa tokea uhuru necta imekabidhiwa kanisa katoliki nalo pia linawafelisha mbona hili pia hamuungi mkono, acheni ujinga wa kupenda kupendelewa, yaani ukristo kwa vyovyote vile haushindi isipokuwa kwa kupendelewa tu, yalianza mahubiri ya kuchambua ukristo kwa kutumia biblia na wahadhiri wakasema wachungaji wakatetee uozo uliopo kwenye kitabu chao matokeo yake maaskofu wanasema hao ni wachochezi wa dini hivyo serikal;i iwashughulikie, kwani kila mchnungaji aliyeenda aliishia kusilimu au kusababisha mamia ya wakristo kusilimu. L;akini mie sina tatizo kila jambo huwa lina mwisho

tume ya katiba mpya lile ni baraza la maimamu,tusitegemee jipya..mbona wenye kuona mbali swala la katiba mpya ni kiini macho.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom