Makato anayokatwa Mwalimu mwenye Digrii kwenye mshahara

Asante sana ,nimekupata vyema
 
Kwenye mahesabau umekosea, All in all mwisho wa siku net amount ni 500k na kidogo sana.

Jana nilipandisha Uzi wa kuwashauri vijana wasichague kozi za ualimu.

Kwa kweli ualimu sio kazi kwa TANZANIA.

Ni kheri utoke form six uende ukajifunze kutengeneza magari au pilipili gereji kuliko kwenda kusomea you upumbavu huu.

.kwa tuliopoteza muda wetu tukasoma ujinga huu, tunawatakia kheri sana madogo zetu


Muda wa kuukataa ualimu ni sasa wakati unachagua vyuo, ukibugi hapa utapata Majuto maisha yako yote
KATAA UALIMU πŸ˜‚πŸ˜‚ NI UMASKINI WA KUJITAKIA
 
Wewe utaleta balaa, CCM watatoa wapi wasimamizi wa uchaguzi?
 
Hose rent
Electricity
Transport
Water bills
Internet charges
Food
Family
 
Mimi bima tu ni zaidi ya milioni wanakata
𝑾𝒆 π’‹π’‚π’Žπ’‚π’‚ π’ƒπ’Šπ’Žπ’‚ 𝒕𝒖 π’˜π’‚π’π’‚π’Œπ’‚π’•π’‚ π’Žπ’Šπ’π’Šπ’π’π’Š!! 𝑱𝒆 π’‰π’Šπ’Š π’π’…π’Šπ’ 𝒔𝒂𝒃𝒂𝒃𝒖 π’šπ’‚ π’Œπ’–π’‹π’Šπ’π’šπ’π’π’ˆπ’‚ 𝒂𝒖 π’Šπ’‘π’ π’π’šπ’Šπ’π’ˆπ’Šπ’π’† πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…