Makato na tozo yamefika pabaya, wahusika fanyeni hima mrekebishe hali

... hebu fafanua mdau! Inasaidia vipi kupunguza maumivu?
Hii unaingia katika menu ya bank bila kuhitaji kuwa na salio la vocha zaidi ya bundle la internet, of which inatumia internet kidogo. Lakini pia ukiangalia salio la akaunt yako kwa nmb app hawakuchaji kitu wakati kwenye menu ya kuingia kawaida wanakuchaji sh 600 kwenye akaunt yako
 
Hiyo app inaitwaje hasa...maana naziona ziko nyingi kwenye playstore
 
"Mama anaupiga mwingi kweri-kweri"
 
Mbona tozo zimeshazoeleka, mimi naona zibaki hivyo hivyo, na huko mbeleni ziongezeke sambamba na bei ya mafuta🤣
 

Tunawakomoa CHADEMA kuna mtu anaupiga mwingi sana.
 
"Kuna makato kwenye vocha na fedha inayotumwa"🤣🤣🤣

She is fucking everybody so hard.Wananchi goigoi huzalisha Serikali goigoi.

Imagine Serikali hii iliyokosa kibali cha wananchi iliingia madarakani kwa kupora uchaguzi huku wananchi waking'a ng'aa macho tu badala ya kuchukua hatua.

Matokeo yake imepatikana serikali goigoi ambayo haina time na vilio vya wananchi achilia mbali kuwatengenezea vilio hivyo.Wananchi wajiandae kulipa uzembe waliofanya.Period.
 
Ndio hivyo tozo na riba za mikopo.

Wanapata faida kubwa sana kwa kunyonya watu damu kwa kuzidisha riba na matozo yasiyo na kichwa wala miguu , kutoa hela yngu kwenye ATM tena laki 2(wanaweka noti za elfu 5) ni 1200 Tsh kwenye visa 2500 Tsh ,gharama kubwa.

 
Unadhani bank zinajiendesha vipi kama sio kwa tozo?
Tozo za kwenye simu au sio?
Hujui kama mabank yanakopesha hela lwa riba?
Hujui kama ukitoa hela kwenye ATM unakatwa ada? Hujui kama kuna ada ya kila mwezi unatozwa kwaajili ya kukulindia acc yako?

Ilitakiwa warahisishe huduma maana ndio lengo kuu la teknolojia. Kuna vitu sio vya lazima sema ndio hivyo wanatumia mwanya ambao wana uhakika huwezi kukwepa...

Hebu fikiria, kuingia kwenye acc yako unakatwa. Kutuma hela kwenye acc yako ya mtandao wa simu wanakata, ukienda kwa wakala kutoa wanakata + tozo ya serikali. Unadhani kuna unafuu kwa mtumiaji wa mwisho?

Huoni kama huo ni mzigo.?
Hivi unadhani mimi nikishaona mlolongo wa matozo huo nitashawishika kuweka hela yangu bank.?
 
Ahaaaa, mwanasheria tuliza boli. Lipia huduma za Mobile banking acha kulialia.
Na wewe badala ya kubishana na Wakili Msomi, kwa nini usiende ukamuuguze Sabaya kule Kisongo!

Hajafika leo mahakamani. Mambo ni magumu kweli kweli kwa upande wake.
 
Na bado hadi amalize muda wake, yeye amekwenda kuangalia magari jinsi yanavyounganishwa Buja, nyie endeleeni kulipa kodi za kizalendo. Bado JK hajapewa gari lenye wepesi wa kushuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…