Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,435
- 4,662
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mteja wa NMB Bank. Katika kurahisisha huduma zangu za kibenki, nimejiunga na huduma ya NMB Mobile Banking. Huwa nafanya miamala yangu kutoka na kwenda benki yangu. Juzi, nilitaka kufanya muamala wa kutoa pesa benki kupeleka kwenye tigopesa.
Kila nikijaribu kuingia kwenye menu ya NMB Mobile sifanikiwi. Sikuwa najua tatizo na hivyo sikufanikisha muamala wangu. Mambo yangu niliyotaka kuyafanya yakakwama. Niliamua kumshirikisha mwenzangu mwenye huduma kama yangu. Yeye ndiye aliyenifumbua macho.
Akaniambia na mimi nikathibitisha kuwa kama huna salio la vocha kwenye simu yako basi huwezi kuingia kwenye menu ya NMB Mobile. Nikaambiwa na kuthibitisha kuwa kila unapoingia menu hiyo, vocha hukatwa. Kumbe, muamala wangu haukufanikiwa kwakuwa sikuwa na vocha!
Kuna makato kwenye vocha na fedha inayotumwa. Makato na tozo kulia na kushoto. Nimeambiwa (bado sijathibitisha) kuwa hata kuingia kwenye menu ya tigopesa kunahitaji uwepo wa vocha simuni ili nayo ikatwe. Tozo na makato yamefika pabaya, yanayafanya maisha yetu kuwa magumu zaidi.
Wahusika fanyeni hima mrekebishe hali hii. It is too much!
Mheshimiwa utakatwa unapotòa na kutuma pesa, lakin kwenye Luku pia utakatwa Eura ya Reahebu niambie ukitaka kutoa hela bank kwa njia ya sim umtumie ili akanunue umeme wa luku (labda 10,000) hiyo hela itakatwa mara ngapi??
Kijna kuwa na lugha za staha hapa jukwaani.
Kuna watu hawatakuelewa,inashangaza hata huku mitaani wale wanaoonekana hela ndogo ndogo haziwasumbui nao wanalalamika nashangaa wanaoshadadia huu ujinga humu mitandaoni wanaishi Tanzania ipi!!!... fikiria scenario hii;
... uko mbali ila una kabiashara mahali ambako umeajiri kijana ambako kana-make max. of 30,000/= profit per day. Huyu kijana kila ikifika jioni ni lazima akurushie mauzo ya siku hiyo na kwa kuwa kesho yake anahitaji kufanya manunuzi ya bidhaa kwa ajili kesho ni lazima kesho yake umrushie fedha kwa ajili hiyo.
Kwa hiyo utaratibu ni yeye kukurushia jioni baada ya mauzo ya siku na wewe kumrushia asubuhi kufanya manunuzi. Imagine hizo tozo! VAT na kodi nyingine sijui za manispaa bila kusahau pango (through LUKU), n.k. ziko pale pale! Tozo hii ni mbaya, inafilisi biashara haifai!
Mbona kama unaongopa sasaNimeambiwa (bado sijathibitisha) kuwa hata kuingia kwenye menu ya tigopesa kunahitaji uwepo wa vocha simuni ili nayo ikatwe.
Mimi ni mteja wa NMB Bank. Katika kurahisisha huduma zangu za kibenki, nimejiunga na huduma ya NMB Mobile Banking. Huwa nafanya miamala yangu kutoka na kwenda benki yangu. Juzi, nilitaka kufanya muamala wa kutoa pesa benki kupeleka kwenye tigopesa.
Kila nikijaribu kuingia kwenye menu ya NMB Mobile sifanikiwi. Sikuwa najua tatizo na hivyo sikufanikisha muamala wangu. Mambo yangu niliyotaka kuyafanya yakakwama. Niliamua kumshirikisha mwenzangu mwenye huduma kama yangu. Yeye ndiye aliyenifumbua macho.
Akaniambia na mimi nikathibitisha kuwa kama huna salio la vocha kwenye simu yako basi huwezi kuingia kwenye menu ya NMB Mobile. Nikaambiwa na kuthibitisha kuwa kila unapoingia menu hiyo, vocha hukatwa. Kumbe, muamala wangu haukufanikiwa kwakuwa sikuwa na vocha!
Kuna makato kwenye vocha na fedha inayotumwa. Makato na tozo kulia na kushoto. Nimeambiwa (bado sijathibitisha) kuwa hata kuingia kwenye menu ya tigopesa kunahitaji uwepo wa vocha simuni ili nayo ikatwe. Tozo na makato yamefika pabaya, yanayafanya maisha yetu kuwa magumu zaidi.
Wahusika fanyeni hima mrekebishe hali hii. It is too much!
Wanatuibia bila kutuhurumia,CCM ni janga la Taifa.Kwa hali ilivyo hata kama umejiunga na kifurushi cha sms haisaidii! Kwa nini kuwe na tofauti katika matumizi ya kifurushi?
Na ukiweka tuseme vocha ya sh. 500, baada ya kumaliza muamala wako wa simbanking hutajua balance itakavyotoweka.
Upuuzi mtupu!
Wafungue macho, wanaua biashara za watu na hata hayo mapato ya kodi yataishia kupungua kuliko kuongezeka, akili za matope tupu hawa... fikiria scenario hii;
... uko mbali ila una kabiashara mahali ambako umeajiri kijana ambako kana-make max. of 30,000/= profit per day. Huyu kijana kila ikifika jioni ni lazima akurushie mauzo ya siku hiyo na kwa kuwa kesho yake anahitaji kufanya manunuzi ya bidhaa kwa ajili kesho ni lazima kesho yake umrushie fedha kwa ajili hiyo.
Kwa hiyo utaratibu ni yeye kukurushia jioni baada ya mauzo ya siku na wewe kumrushia asubuhi kufanya manunuzi. Imagine hizo tozo! VAT na kodi nyingine sijui za manispaa bila kusahau pango (through LUKU), n.k. ziko pale pale! Tozo hii ni mbaya, inafilisi biashara haifai!
MAMA KAWAACHIA WAHUNI WAVIVU WALIOVIMBIWA KUFIKIRIA, WAMSAIDIE VYANZO VYA MAPATO. WAHUNI UKU WAKIWA NA BAKURI LA POP CORN WANABUGIA WAKAMWAMBIA " VIZIA WANANCHI, WAKITUMIANA TU PESA , KWAPUA HAPO HAPO" BASI MASIHARA MASIHARA NDIO IMEKUWA MTINDO SASAMimi ni mteja wa NMB Bank. Katika kurahisisha huduma zangu za kibenki, nimejiunga na huduma ya NMB Mobile Banking. Huwa nafanya miamala yangu kutoka na kwenda benki yangu. Juzi, nilitaka kufanya muamala wa kutoa pesa benki kupeleka kwenye tigopesa.
Kila nikijaribu kuingia kwenye menu ya NMB Mobile sifanikiwi. Sikuwa najua tatizo na hivyo sikufanikisha muamala wangu. Mambo yangu niliyotaka kuyafanya yakakwama. Niliamua kumshirikisha mwenzangu mwenye huduma kama yangu. Yeye ndiye aliyenifumbua macho.
Akaniambia na mimi nikathibitisha kuwa kama huna salio la vocha kwenye simu yako basi huwezi kuingia kwenye menu ya NMB Mobile. Nikaambiwa na kuthibitisha kuwa kila unapoingia menu hiyo, vocha hukatwa. Kumbe, muamala wangu haukufanikiwa kwakuwa sikuwa na vocha!
Kuna makato kwenye vocha na fedha inayotumwa. Makato na tozo kulia na kushoto. Nimeambiwa (bado sijathibitisha) kuwa hata kuingia kwenye menu ya tigopesa kunahitaji uwepo wa vocha simuni ili nayo ikatwe. Tozo na makato yamefika pabaya, yanayafanya maisha yetu kuwa magumu zaidi.
Wahusika fanyeni hima mrekebishe hali hii. It is too much!
Jack Ma wa alibaba....alisema ukiona biashara inaanza kufuatiliwa na serikali uza biashara hiyo anzisha nyingine ! Hapa dawa ni kuanzisha biashara huko Mars na wale Aliens!Sasa tunaenda mbele au tunarudi nyuma? Teknolojia ipo ili kurahisisha na kuokoa muda.
Nachelea kusema hatuna viongozi wenye maono
Tafta pesa mkuu Tozo sio kubwa namna hio nafikiri waongeze kidogoMimi ni mteja wa NMB Bank. Katika kurahisisha huduma zangu za kibenki, nimejiunga na huduma ya NMB Mobile Banking. Huwa nafanya miamala yangu kutoka na kwenda benki yangu. Juzi, nilitaka kufanya muamala wa kutoa pesa benki kupeleka kwenye tigopesa.