Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makubwa ukilinganisha na wapi ??
Equity ukitoa kwa wakala chini ya Tsh 250,000 wanakata Tsh 3,300.
Ukitoa zaidi ya 260,000 wanakata Tsh 4,000.
Jambo la msingi tumia ATM ( tena CRDB wanazo nyingi tu, ni ujuha wako tu kwenda kwa Wakala halafu unakuja kulalamika kama mbweha humu )
...Lakini wakati mwingine tuangalie na tekinolojia Wakuu!Makubwa ukilinganisha na wapi ??
Equity ukitoa kwa wakala chini ya Tsh 250,000 wanakata Tsh 3,300.
Ukitoa zaidi ya 260,000 wanakata Tsh 4,000.
Jambo la msingi tumia ATM ( tena CRDB wanazo nyingi tu, ni ujuha wako tu kwenda kwa Wakala halafu unakuja kulalamika kama mbweha humu )
Mimi nimelalama wapi ???...Lakini wakati mwingine tuangalie na tekinolojia Wakuu!
Wakala amekupunguzia kuhangaika kuifuata ATM ilipo halafu bado unalalama kukatwa Alfu NNE ili kupata Shs Laki 260 zako??
Ulikuwa unataka ukatwe shs ngapi kutoa hela hiyo? Buku?
Na sisi Wateja tupunguzeni Ubahili...!![emoji20]
Alfu 4 ili Kutoa shs 260, 000/= tunalalama??[emoji15]
online banking haina makato?miamala ya simu inachangia sana kuua biashara inaumiza sana, unakuta kwa siku unafanya miamala 20 hizo 7500 za kutuma na kutokea ukizijumlisha ni fedha sana na huwenda ndio faida yenyewe. Online banking ni suluhisho sijui tunakwama wapi
Mtu anakatwa elfu tano unapewa 240 unasema upate chochote ulinzi no wako mtaji ni wako wangekupa hata asilimia 40 hili nalo na mawakala wa huduma za fedha za kimtandao ni za kuomba MAMA AZIANGALIEMtatuua mawakala kwa njaa jamani.
Njooni tu mtoe hela kupitia sisi walau na sisi tupate chochote
Karibu sawa na hakuna you can't feel itonline banking haina makato?
Tofauti kati ya options mbali mbali za kuchukua pesa yako ni ndogo. Unachagua option unayoona ni convenient kwako ku serve muda na gharama za usafiri kuchukua pesa yako. Uchaguzi ni wa kwako. CRDB bank inakupa options nne za kuchukua hiyo sh 120,000/ kwa gharama ifuatavyo:Sikuwahi kujishughulisha kujua makato ya kutoa pesa kwa wakala wa CRDB. Leo nimeenda kwa wakala kutoa Tsh 120,000 nikapewa kimashine nijihudumie baada ya kuweka kadi, Nimeshtuka kuona makato ni Tsh 2,966.
Je, ATM ni nafuu zaidi ili niachane na mawakala au ni yale yale?
Maajabu ni pale mtu anaacha option 3 anakimbilia na 2 only to find that hajasevu kitu maana akichukua boda boda kwenda na kurudi sh 2000, akipanda Hiace 800..Tofauti kati ya options mbali mbali za kuchukua pesa yako ni ndogo. Unachagua option unayoona ni convenient kwako ku serve muda na gharama za usafiri kuchukua pesa yako. Uchaguzi ni wa kwako. CRDB bank inakupa options nne za kuchukua hiyo sh 120,000/ kwa gharama ifuatavyo:
1. Kwa teller wa benki kwenye tawi la benki lililo karibu na wewe saa za kazi za benki. Utajaza fomu za kuchukua pesahalafu utajipanga kwenye msululu wa kwenda kwenye dirisha la kumwona teller. Msululu huo unaweza kuwa mrefu na ikakuchukua masaa kadhaa kuchukua pesa yako. Gharama yake ni sh 1,500/.
2. Option ya pili ni kwa atm iliyo karibu na wewe saa yeyote na siku yo yote. Msululu kwa kawaida si mrefu kutegemea na eneo na saa. Hivyo unaweza kupata pesa yako hiyo ndani ya dakika chache kwa gharama ya sh 2,000.
3. Kwa wakala aliye karibu. Kwa kawaida hapa hakuna msurulu na pesa yako utaichukua kwa muda mfupi zaidi kwa gharama hiyo ya sh 2,900.
4. Option nyingine ni ya simu yako ambayo hela unaihamishia kwenye simu yako any time any where. Yaani hata ukiwa nyumbani tu au ofisini unachukua pesa yako. Hapo gharama ni sh 4,000 tu. Chaguo ni lako. Benki inayosikiliza mteja.
Kabisa mkuu nilishangaa kuona NBC kutoa ATM zao kwa kuwataka wananchi wakatumie mawakala ilihali kuna makato makubwa kwa mawakalaNenda Kwa hawa Mawakala kama unatoa kiasi kikubwa kuanzia 2M kuna unafuu na ni convenient. Ila kutoa Vilaki, laki ni bora uende ATM.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtatuua mawakala kwa njaa jamani.
Njooni tu mtoe hela kupitia sisi walau na sisi tupate chochote
Wakuu naomba niulize kitu, mfano nataka nitoe pesa kutoka kwenye account yangu ya CRDB kwenda kwenye artel money yangu vp kuhusu makato yake yapoje? Mana benki waliniunganisha kupitia no yangu ya simu kwa iyo naitaji kujua garama zake hili nisiwe naenda mara kwa mara ATM
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app