Makato ya PayPal Tanzania yakoje?

Makato ya PayPal Tanzania yakoje?

quincy_alfred

Member
Joined
Aug 4, 2021
Posts
11
Reaction score
4
Habarini!.

Anayefahamu makato ya kuhamisha pesa kutoka paypal kwenda benk iliopo Tanzania anifahamishe please,
 
Nimesikia unaweza kufanya transfer kupitia benki kama una card ambayo ni multicurrency .so, Nilitaka nifahamu makato yake yako vipi
 
Hata kupitia card ya multicurrency?? Kwahio kama nataka kufanya transfer mfano kutoka kwenye platform flani nitatumia nini Tanzania hii 😂
Payoneer, skrill, wise, na ladba utengeneze paypal ya kenya
 
Tanzania bado tupo nyuma sana . Hatuna paypal hadi leo hii???
Paypal ipo but ni kwa ajili ya kulipa na kutuma pesa, haipokei pesa unless ni refund
 
Payoneer, skrill, wise, na ladba utengeneze paypal ya kenya
kufungua paypal ya kenya si itakubidi tena ununue laini ya safaricom ya kenya mkuu? ukipokea pesa mtandaoni unahamisha kuja safaricom then unatuma tena vodacom m-pesa ya huku tanzania sema paypal watakuvizia na siku ukipokea pesa nyingi kuanzia $600 wata-hold (kushikilia kwa miezi sita) mpaka u-verify details ulizo jaza hapo ndio utajua hujui...
 
Yote haya nayajua na nshasolve account zangu ni verified
 
Hata kama sina laini ya safaricom nitafanya mpango nifungue paypal ya hapa bongo na siku nikipokea pesa zangu online namtumia mtu ambae ame-verify account yake then anitumie via world remit skrill au payoneer hata kama atakata 30% au 20% kama kuna mtu yuko tayari anicheki now
 
Huwezi mtumia mtu pesa vua worldremit kama akaunti si ya ulaya au marekani.
How will paypal to payoneer work?
 
nahitaji nijue zaidi about paypal mkuu sema huku bongo unatuma tu sio kupokea ebu nipe expirience yako unatumia njia gani nzuri kupokea pesa zako kuna wiretransfer,
payoneer,skrill & paypal ya kenya nataka nijue sehemu ya uhakika zaidi isio na FEE au makato..
 
Back
Top Bottom