Makato ya PayPal Tanzania yakoje?

Makato ya PayPal Tanzania yakoje?

Nshaandaa za akaunti zaodi ya 5 na kuziverify na niliweka thread humu how to do that
Kazi nzuri mkuu kuuza account ambayo ipo verified itakua Tsh ngapi? Maana nimehangikia sana zaidi ya account mbili za paypal ya kenya lakini nikaishia kula ban...
 
Sio lazima uhamishe hizo pesa kuja Mpesa ya vodacom TZ. Huko huko Safaricom MPESA unaweza KUITOA hiyo pesa kwa wakala wa Vodacom MPESA TZ na inatoka vizuri tu, kuna USSD code ya kutoa hapa TZ.....
nimekusoma kinoma noma mkuu congratulation brother..
 
Kazi nzuri mkuu kuuza account ambayo ipo verified itakua Tsh ngapi? Maana nimehangikia sana zaidi ya account mbili za paypal ya kenya lakini nikaishia kula ban...
Mkuu sina account ambayo nauza maana sijawah tengeneza acfount za kuuza mkuu uwa ni kwa matumizi bnafs
 
Hata kama sina laini ya safaricom nitafanya mpango nifungue paypal ya hapa bongo na siku nikipokea pesa zangu online namtumia mtu ambae ame-verify account yake then anitumie via world remit skrill au payoneer hata kama atakata 30% au 20% kama kuna mtu yuko tayari anicheki now
Huwezi kupokea pesa na paypal bro kama wewe ni mtz. Ova
 
Huwezi kupokea pesa na paypal bro kama wewe ni mtz. Ova
Duuh..serikali yetu bado iko nyuma sana kwenye masuala ya mitandaoni wakisikia internet wanajua ni kuangalia porn ngoja ifike 2025 huenda watairuhusu paypal ingeruhusiwa tz vijana wengi wangejikwamua kiuchumi na kufika mbali zaidi mtu yeyote ambae ni nguli kwenye internet anaelewa fursa zilizopo mitandaoni...
 
paypal hata uwe na laini ya safaricom utafanya transuction siku za mwanzo na watakuvizia mpaka siku ukipokea USD $600 wata-hold mpaka u-verify details ulizo jaza na hapo ndio utajua kwanini kanga ana vidoti doti...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom