Zote zina makato either direct or indirect.
Payoneer mimi nilikuwa natoaga ela via atm shida ikawa ela ndogo hizi dollar 100 au 30 ukitoa wanapita na dollar 7.5 mpaka 13.5 ni hasara. Later nikajua kumbe naweza tumia mastercard ya payoneer nikahamisha ela directly from card to mpesa safaricom via skrill na hawana fees ni bure. Na safaricom to mtandao wa tz ni bure japo utaliwa kwenye FX.
Paypal mimi natoa ela kwa njia mbili kwa safaricom mpesa au kuihamishia payoneer.
Skrill watu wa marekan wengi hawaitumii.
Njia nyngine kama kuna walau dollar 300 wire transfer iko poa tu.
Halafu pia unaweza lipwa via mtandao wa simu.
Kuna mtu ananilipaga direct to airtelmoney via zoom.
Hakuna njia ya moja kwa moja tumia inayofaa kuendana na scenario.
Cryptocurrencies nayo si nzuri ikiwa unataka ziuza faster utaziuza low.mfano kuna mtu nilikuwa nanunua bitcoin local bitcoin kutumia skrill balance ili niuze kwa mtu atakayenlipa kwa mpesa. Ilikuwa inakula sana kqangu