quincy_alfred
Member
- Aug 4, 2021
- 11
- 4
Huwezi kwasababu paypal tz haipokei pesaHabarini!.
Anayefahamu makato ya kuhamisha pesa kutoka paypal kwenda benk iliopo Tanzania anifahamishe please,
Hata kupitia card ya multicurrency?? Kwahio kama nataka kufanya transfer mfano kutoka kwenye platform flani nitatumia nini Tanzania hii 😂Huwezi kwasababu paypal tz haipokei pesa
Payoneer, skrill, wise, na ladba utengeneze paypal ya kenyaHata kupitia card ya multicurrency?? Kwahio kama nataka kufanya transfer mfano kutoka kwenye platform flani nitatumia nini Tanzania hii 😂
Ok thanks ngoja nikazifatiliePayoneer, skrill, wise, na ladba utengeneze paypal ya kenya
Payoneer, skrill, wise, na ladba utengeneze paypal ya kenya
Paypal ipo but ni kwa ajili ya kulipa na kutuma pesa, haipokei pesa unless ni refundTanzania bado tupo nyuma sana . Hatuna paypal hadi leo hii???
@Nafaka hatuwezi kupokea au hatuwezi kutoa?Paypal ipo but ni kwa ajili ya kulipa na kutuma pesa, haipokei pesa unless ni refund
Kupokea hupokei hivyo hata kutoa hutoi maana huwezi toa ambacho hujapokea@Nafaka hatuwezi kupokea au hatuwezi kutoa?
AhaasawaKupokea hupokei hivyo hata kutoa hutoi maana huwezi toa ambacho hujapokea
kufungua paypal ya kenya si itakubidi tena ununue laini ya safaricom ya kenya mkuu? ukipokea pesa mtandaoni unahamisha kuja safaricom then unatuma tena vodacom m-pesa ya huku tanzania sema paypal watakuvizia na siku ukipokea pesa nyingi kuanzia $600 wata-hold (kushikilia kwa miezi sita) mpaka u-verify details ulizo jaza hapo ndio utajua hujui...Payoneer, skrill, wise, na ladba utengeneze paypal ya kenya
Yote haya nayajua na nshasolve account zangu ni verifiedkufungua paypal ya kenya si itakubidi tena ununue laini ya safaricom ya kenya mkuu? ukipokea pesa mtandaoni unahamisha kuja safaricom then unatuma tena vodacom m-pesa ya huku tanzania sema paypal watakuvizia na siku ukipokea pesa nyingi kuanzia $600 wata-hold (kushikilia kwa miezi sita) mpaka u-verify details ulizo jaza hapo ndio utajua hujui...
Viongozi wetu ni wajima sana aisee,sijui hata uwa wanafikiria nini maamuzi yao mengineHuwezi kwasababu paypal tz haipokei pesa
Hata kama sina laini ya safaricom nitafanya mpango nifungue paypal ya hapa bongo na siku nikipokea pesa zangu online namtumia mtu ambae ame-verify account yake then anitumie via world remit skrill au payoneer hata kama atakata 30% au 20% kama kuna mtu yuko tayari anicheki nowYote haya nayajua na nshasolve account zangu ni verified
Mambo yake tumwachie mwenyeweNatumae mleta mada ulipata muongozo...
Huwezi mtumia mtu pesa vua worldremit kama akaunti si ya ulaya au marekani.Hata kama sina laini ya safaricom nitafanya mpango nifungue paypal ya hapa bongo na siku nikipokea pesa zangu online namtumia mtu ambae ame-verify account yake then anitumie via world remit skrill au payoneer hata kama atakata 30% au 20% kama kuna mtu yuko tayari anicheki now
nahitaji nijue zaidi about paypal mkuu sema huku bongo unatuma tu sio kupokea ebu nipe expirience yako unatumia njia gani nzuri kupokea pesa zako kuna wiretransfer,Huwezi mtumia mtu pesa vua worldremit kama akaunti si ya ulaya au marekani.
How will paypal to payoneer work?