Makato yapi ambayo ni lazima kwa mfanyakazi wa sekta binafsi (NGO) kukatwa? NSSF, NHIF au PAYE?

Makato yapi ambayo ni lazima kwa mfanyakazi wa sekta binafsi (NGO) kukatwa? NSSF, NHIF au PAYE?

Yote hayo ongezea na Loans board kama ulikopa na Workers Compesation Fund
 
Na je inakuaje kama mtu umeshasajiliwa NSSF lakini mwajiri wako hajawasilisha malipo huko kwa miezi kadhaa?
 
Umesahau hapo na na wazee wa HESLB ..wakikumulika hako ka salary kako watakukomesha
 
Back
Top Bottom