Makavu live kwa mnaoenda vyuoni


Nash MC
 
Kwa mada kama hizi acha c.c.m watawale milele, mtu anatoka huku kanywa viroba anabwabwaja tu! jenga hoja hao uliowasifia wamesoma wapi? unaelekea umefeli elimu na maisha pia, mbona cjasoma huku chuo lakn cna kama wewe? nadhan jf si wote wanafikiri xana wewe m1 wao.
 
 

Hivi ni kweli uliishia std seven ama hukwenda shule kabisa tukusaidie!!!?
 

Wivu Wa CHUPINI huu!
 
Mwenye elim halafu akakosa Kazi hawezi kunishauri nimeshakua Senior kwenye maisha ya mtaa kushauriwa ki degree degree cwez...
 
Sijui ni kwa nini baadhi ya Wanajamii wana chuki na Wanavyuo!?


Anyway!! Tutafika tu!!
kwaio huu ushauri wa jamaa we unaona ni chuki dhidi ya wanachuo? You are not serious, mi naona yupo sahihi, vyuoni mambo yapo exactly kama alivyoyaelezea na ni vyema kuyazingatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…