Makavu live kwa mnaoenda vyuoni

Najua ni ngum kueleweka asante KUBWA kwa mnaoniekewa taratibu watabadilika tuu ..
 
mkuu ungewambia pia huwa linakata,wa kuolew na dd poa wa kumwaga watatoka kundi hilohilo...xa we njoo ka kondoo utauza vocha aina zote!
 
ama kwel wasomi wetu wengi ni mavuvuzera, ujumbe mtam kama huu mnaanza kutokwa na mapovu! kwan jaman hatuyaon hayo yaliyosemwa na mleta uzi? achen kuteteana mm mwenyewe nimeyashuhudia sana kipind nko varsty nimeupenda sana huu uzi najua wenye hzo tabia mmeumia sana, teheheheheheheeeeeee! back tanganyika.
 

kamanda umetiiiiishaaaaaaa! ni mkuki kwa wahusika
 
ela gani tena unaseme fahara wewe izo ni ela za mlipa kodi plus makato ya mishahara ya wazazi wangu na bia and sigara nnazo vuta after all mwisho wa siku zinarudishwa kalie na mafisadi wa epa na richmond wale ndo chanzo cha umasikini wako!
 
#dibk ASANTE KUBWA MAANA NILIONEKANA NINAWIVU ETI KWAKUA SIPATI MKOPO WAKATI MIMI NATAMANI HATAWAONGEZEWE ILA FOR FUTURE MFANO UKIWA CHUO ISHI KAWAIDA TU NA HELA YA MKOPO IHIFADHI JAPO KIDOGO KIDOGO UKIMALIZA CHUO KAMA KAZI IKIZINGUA UNAANZISHA JAMPUN YAKO HATA KWA MILION MOJA AU MBILI LAKINI HIKI NILICHO SEMA HAPA ATAKUJA MWANACHUO HAPA TENA WA MAMBO YA UCHUMI ATASEMA UNAWEZAJE KUANZISHA KAMPUNI KWA MILIONI?
 

kampuni ya milioni moja haahaa io ela itashia kwenye kuisajili!
 
Utakua mpumbavu saana kama utasajili kampun kwa kutumia milion wakati hela uliyonayo ndio million mkuu vipi?
 
Utakua mpumbavu saana kama utasajili kampun kwa kutumia milion wakati hela uliyonayo ndio million mkuu vipi?

sasa unadhani process zakusajili kampuni ni efu50 kijana? Labda uoperate kama mjasiria mali maana duka nikinunua mashine ya tra ntabakiwa na laki nne zakulipia kodi umeme na maji!
 
#vvm mbona unapanik mkuu? Mafisadi wapo wengi Mimi nimeanza na hao wanna vyuo coz nao ni mafisadi kwa matumiz mabaya ya mikopo halafu Kazi hawapati serikali inakua imeingia hasara
 
Mkuu hizo mashine zinahitajika kwa biashara za ukubwa Fulani usiwakatishe tamaa watu hiyo million kuanzisha kampuni inatosha saana nia thabiti inahitajika. Before kampuni
 
Mkuu hizo mashine zinahitajika kwa biashara za ukubwa Fulani usiwakatishe tamaa watu hiyo million kuanzisha kampuni inatosha saana nia thabiti inahitajika. Before kampuni

befor kampuni apo nimekuelewa nasio kuanzisha kampuni ya milion moja! Well said mkuu
 
#vvm mbona unapanik mkuu? Mafisadi wapo wengi Mimi nimeanza na hao wanna vyuo coz nao ni mafisadi kwa matumiz mabaya ya mikopo halafu Kazi hawapati serikali inakua imeingia hasara

hahaha ni kitu kisichowezekana kijana unajua nini ukitaka wanafunzi wasiparty maana yake unamaanisha club zifungwe, wauzaji wa baa wafukuzwe na serikali ikose kodi ya bia na sigara kweli ivo si ndo umaskini sasa?
 
Wanaobisha na wahishe lakini walio wengi masha yao yapo kama mtoa mada alivyosema.
1. kuna wengine, bum likitoka, haonekani darasani wala discusion uadi bum liishe
2. wengi wanamaliza mabum mapema halafu wanashinda kwa wanaojipikilisha chuo
3. Bum likishatoka wengi wanashinda kwenye starehe... na ndiyo maana ''supu'' za kumwaga
4. Wanawake kujiuza hawajambo... halafu angalia maVX yanavyopaki pale kwenye mabweni ya wasichana kuwanunu

Bisheni...muiteni la saba.... mwambieni anawachukia wanachuo... mtukaneni lakini ukweli utabaki ulivyo daima na milele..
 

Mkuu wanachuo pia ni watu....hayo mambo hayapo mitaani? Hivi hujaona kuna watu wanafanya kazi ngumu wakipata hela kidogo tu wanaenda kunywa pombe?
Nilikuwa nakaa mkoa mmoja wenyeji wa huko wanalima kahawa....muda wa kuvuna ule ni full kushindana kununua nguo na kunywa pombe...uzinzi huo ndo usiseme...wengine walikuwa wanatumia fursa hiyo kuoa wanawake....mtu kila akipata hela ya kahawa anaongeza mke.....
Hiyo ni hulka tu ya binadamu hayo mambo hayapo vyuoni tu...
 
Waambie hao na over exptn zao,na pia niongezee hapo mbona humu jf kila mtu anasema yeye ni mwanachuo?Kwa hiyo tuseme jf ni wanafunzi?
 

OK kwamfano nikiwatetea wakulima kwamba wamekosa elim ya kuendeleza kipato chao na mpaka kesho bado wanahitaji msaada wao wasomi ili kuongeza kipato chao japo cwatetei mojakwamoja we we ungekaa upande Wa wanavyuo ungewateteaje
 

Positivity is always your character! Nakupenda kwa hilo, Japo mi sio mstarehekaji saaanaa ila maisha Binafsi ya mtu ambayo hayaniathiri huwa hayanishughulishi! Btw Boom siku hizi ni kiasi gani mpaka litumike kununulia simu ya one million na zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…