Makavu live kwa mnaoenda vyuoni

OK kwamfano nikiwatetea wakulima kwamba wamekosa elim ya kuendeleza kipato chao na mpaka kesho bado wanahitaji msaada wao wasomi ili kuongeza kipato chao japo cwatetei mojakwamoja we we ungekaa upande Wa wanavyuo ungewateteaje

Kwanza nikuambie kitu.....hakuna mtu anayetegemea mkopo tu ataweza kununua simu ya laki nane never...... Mimi nlipokuwa nasoma chuo nlikuwa sinywi pombe,siendi club sinunui wala mawigi wala chochote ambacho ni cha matumizi ya anasa.....lakini sikuwahi kuweka akiba ya kueleweka...hivi unajua mwanachuo anachukua hela kiaso gani kwa mwaka? Hakuna mtu ananywea pombe hela yako
 
Positivity is always your character! Nakupenda kwa hilo, Japo mi sio mstarehekaji saaanaa ila maisha Binafsi ya mtu ambayo hayaniathiri huwa hayanishughulishi! Btw Boom siku hizi ni kiasi gani mpaka litumike kununulia simu ya one million na zaidi?

7500 eti mtu ndo utanunua simu ya laki nane khaa
 
Sijui ni kwa nini baadhi ya Wanajamii wana chuki na Wanavyuo!?


Anyway!! Tutafika tu!!
wanasema eti kama ukitaka kuwa sehemu fulani ambayo mtu fulani yupo, ama unataka kuwa kama yeye,

Kamwe (kwa % kubwa) huwezi kumpenda huyo mtu..

Sasa kwa mtoa mada .... labda theory ina apply.
 

hawa watu sio wa kubishana nao, mtu hajui kitu anabaki kuimagine tu ooh kodi zetu kodi zetu!!! angejua watu wanavopata shida uko na uto tuhela twa bodi hata asingesema aaargh..
 
Wasomi tumieni usomi basi japo kidogo nasikia raaha mnapo zidi Ku comment Uzi Wang japo najua ninasafari ndefu ya kuinyoosha Jamii hii ambayo kimsingi Inahitaji canceling ya hari ya juu sana. OK najua mnaishi katika mazingira magumu lakini nazidi kupata shida ninapo kaa na baadhi yenu mtaani wakiwa na upeo Mdogo saana juu ya maisha na utatuzi Wa matatizo mbalimbali sasa najikuta nalazimika kuwalaumu moja kwa moja na wengi wenu wanapo kosa Kazi lawama zao eti kwa serikali sasa najiuliza hii serikali itaajiri nan na kumwacha nani? Nikirudi kwenye takwimu ya wahitimu wanaoweza kukabiliana na soko la ajira ni 30 na kitu % asilimia zaidi ya 60 hamuwezi chochote pamoja na kua na vyeti vyenu vizuri. Jamani msinidanganye kwamba kila kitu hatuwezi kuona eti kwakua hatuja graduate! Nimekua nikiwachallange sana graduater Nana kawaida saana ndio maana nimekua jasiri Wa kujadili mambo na nyinyi hapa ila kiukweli kama hamjabadilika nchi hii itachelewa saana coz mitazamo yenu bado imekaa kiajira ajira tuuu! Waoga kuanzisha vitu mna aibu kupambana na maisha na mwisho hamjiamini kabisaaaa na hao ndio maadui wakubwa na nyinyi ndio MMEWAKUMBATIA. KARIBUNI KWENYE UFALME WA MADARASA MACHACHE LAKINI ELIMU ILEILE
 

Teh teh teh we ni nouma
 
Teh teh teh we ni nouma

No! Mkuu sema kitu maana nashambuliwa Mara naona wivu Mara sijasoma lakini nakomaa na nyinyi kwasababu naamini siku mkibadili mitazamo yenu Mimi pia nitanufaika kuliko hvyo mnavyo penda kuajiliwa mwisho Wa siku mnaajiri MTU mmoja tuu house girl
 
Kwa mnaoenda kusoma bachelor of education jiandaeni kisaikolojia mtakapokuja kuonana na wenzenu maengineer,madocta,wanasheria,wahasibu,
 
Aiseee bumu tamu lakini fupi sana na huwa halitoshi tulikuwa tunakulaga bata hapo abc nche ya mabibo hostel wiki ya kwanza tu wiki ya pili shato pori rb na kudownload maji vinahusika.. Wapi mika ngoyeje
 
Na Mimi nalia saana na akina mwajuma nipe na akina ben sangala ambao kwao mihogo kachumbali
 
#shimmy Mungu hakutaka niwe na elim ya chuo nadhan anamaksudi nashukuru sijinyanyipaa eti kwakua sija graduate kwakua walio graduate naona bado wanahitaji madini toka kwetu tatizo wakijua hujasoma wanadharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…