komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,742
- 3,523
Nimekuwa nikiwaza, makampuni ya kupima viwanja yanavyoongezeka na upanuzi wa viwanja kwenye Majiji, miji, halmashauri, vijiji na vitongoji.
Bahati mbaya sioni juhudi za kuwaza juu ya maeneo ya kulima hasa kimkakati. Idadi ya watu wanahitaji viwanja inaongezeka ila mashamba yanageuka kuwa viwanja. Miaka 50 ijayo itakuwaje ????