Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Israel kuchukua udhibiti kamili wa kijeshi wa Gaza Netanyahu ameifanya kazi nzuri sana leo hii na atasababisha yafuatayo:
Hamas itaondolewa milele!!.
Hali ya ugaidi haitakuwapo tena.
Na kwa upande wa magaidi sasa hivi ni hofu tu.
Mwamba waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema mambo 7 ambayo ndiyo hayo hapo chini.
1/ “Tunataka kujikomboa sisi wenyewe na watu wa Gaza kutokana na ugaidi wa kutisha wa Hamas.”
Kwa miaka 20, Hamas imetawala Gaza kwa roketi na vyumba vya ubakaji. Kuwaacha Gaza lilikuwa kosa la kutisha kwao Sasa, Israeli inaimaliza hiyo Kazi.
2/ Hamas wameendesha udikteta katili huko Gaza Kisha mnamo Oktoba 7, 2023 waliua zaidi ya Waisraeli 1,200.
Walichoma watoto wachanga.
Walibaka wanawake.
Waliteka nyara wazee na watoto.
Walitiririsha uhalifu wao moja kwa moja. Hata kabla ya hapo, walirusha maelfu ya roketi katika vitongoji vya Wayahudi.
3. Sasa Israeli wanasema: Inatosha.
Udhibiti kamili wa kijeshi wa Gaza
Kutotawala tena Hamas
Hakuna mamlaka ya Umoja wa Mataifa
Hakuna kubembelezwa na nchi za kigeni
Hakuna Two state Solution tena!!
Sasa hivi ni Usalama tu. Adhabu kwa wauaji ( itapitishwa sheria ya kuwa Nyonga Magaidi wote)Amani kwa wasio na hatia itatawala sana huko Gaza!!
4/ nini hasa Lengo la Israel?
➡ Kuharibu/Kuiangamiza Hamas
➡ kuokoa mateka waliotekwa na magaidi hao
➡Kuanzisha utawala wa ndani usio na magaidi
➡Kuzuia Gaza isije ikawa tena tishio kwa Israel
Hakuna ugaidi. Hakuna maelewano na Magaidi Hakuna kurudi nyuma.
5/ Kwa kawaida Magaidi walikuwa wanadai wa kinyume chake:
• Hakuna udhibiti wa Israeli
• Hakuna uwepo wa kijeshi
• Hakuna mabadiliko kwenye mipaka ya Gaza
• Udhibiti kamili kwa Mamlaka ya Palestina Kwa maneno mengine: kujisalimisha. Na hatimaye mauaji ya kimbari dhidi ya Wayahudi sasa njama zao leo zimeshindwa.
6/ Je Israel ilitoa majibu gani kwa magaidi wa Hamas?
Hapana.
Hakuna uwongo tena.
Hakuna roketi zaidi.
Hakuna tena "wizara za afya" bandia zinazoficha magaidi hospitalini.
Hamas itaondolewa.
Na Gaza haitakuwa kituo cha ugaidi tena.
7/ kuna siku Trump alipima uzito:
Akasema Israeli lazima ifanye maamuzi yake.
Unajua nini Tafsiri yake??
Hakuna shinikizo kutoka Amerika Israel itakuwa inapiga ipendavyo magaidi hao!!
Hakuna usaliti wa mtindo wa Biden.
Wakati huu, Israeli itaamua jinsi ya kushinda magaidi wa Hamas wala si shinikizo kutoka kwa yeyote!!!