Make up make women appear more Competent: Study

Hahaha.. atoto achana na Heaven Sent ananinyanyasa makusudi. Anajua akitaja scrub yetu ile mchana huu lazima ntaburst. Sasa nimejikaza kuchekea tumboni lakini machozi yanatoka. Hapa nilipo watu wanajua mimi ni mtu siria vibaya sana hahaha
Hahaha hamna bana, ile scrub ni hatareeee mno teh
 
  • Thanks
Reactions: kui
Hahaha.. atoto achana na Heaven Sent ananinyanyasa makusudi. Anajua akitaja scrub yetu ile mchana huu lazima ntaburst. Sasa nimejikaza kuchekea tumboni lakini machozi yanatoka. Hapa nilipo watu wanajua mimi ni mtu siria vibaya sana hahaha
Hahaaaaa! Yaani nikiikumbuka ile scrub yako na ile story nyingine nacheka.
 
Haha umesema unapakaga red au nude au? Me nikilamba tu ubuyu inatosha, ndo shedo yangu teh

Hahahaaaa! Wewe tena! We na kui nilishawavulia kofia.

Hahaha!, Heaven Sent hebu tumuelimishe atoto with our home made make up.
Eti shedo ya ubuyu, hahhaaa.
Usisahau na zile wigi zetu za kihindi...lol
 
Teh lip bam vitumbua. Wigi ukigeuka lenyewe limesimama tu, halifati direction ya kichwa kabisa
 
Hahahaaaaa, hivi umenikumbusha nywele za wig huwa hazisogei especially kama fupi.
Hata kije kimbunga huwa hazipepei 😀
 
Hahaha!, Heaven Sent hebu tumuelimishe atoto with our home made make up.
Eti shedo ya ubuyu, hahhaaa.
Usisahau na zile wigi zetu za kihindi...lol
Hizo make up zenu mbaki nazo wenyewe kwakweli.
Teh lip bam vitumbua. Wigi ukigeuka lenyewe limesimama tu, halifati direction ya kichwa kabisa
Hahaaaa! Yaani baba yako ni mwisho wa matatizo, hilo shushu lilikuwa funga mwaka.
 
Mawigi anayaweza heav, mara upepo ukija unakuwa na wasiwasi km unaoga njia panda, au ukipanda daladala ukakaa na mtoto akikuvuta kaharibu kabisa ustaarabu.

...na kwenye mnuso inabidi kucheza kwa ma pose, ukitaka kumrudi MJ hukawii kuliona usawa wa floor.
 
Back
Top Bottom