Make up make women appear more Competent: Study

Mie i just go with red n nude only! Iwe kazini au mtoko.

Nilikuwa sijui wanayosema hapa kuwa (hata makazini) watu wanaweza vutiwa na mtu kutokana na make up, lakini uongo mbaya nikiweka lipstick, nikijua
nimepatia rangi halafu imekaa vizuri, hata nasikia vizuri mwenyewe.
Lips nzuri zina power yake fulani ya kukufanya uwe confident.

Cc Heaven Sent
 
Ukijipatia kwa chochote unajisikia raha sana, maana kupendeza unaanza kujiona mwenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Nilikuwa sijui wanayosema hapa kuwa (hata makazini) watu wanaweza vutiwa na mtu kutokana na make up, lakini uongo mbaya nikiweka lipstick, nikijua
nimepatia rangi halafu imekaa vizuri, hata nasikia vizuri mwenyewe.
Lips nzuri zina power yake fulani ya kukufanya uwe confident.

Cc Heaven Sent
Wacha weee, mwanamke confidence. Hapo na heels zako koo koo unaswing tu, kama twigaaa lol
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom