Binti zangu wafanye lolote wanalopenda
Utadaiwa siku ya HUKUMU Kwa kutowalea wanao sawasawa na maelekezo ya Mungu.
Mwili wako ni hekalu ambalo Mungu anataka akae ndani Ili aabudiwe.
Pete za masikioni zinapotobolewa na kuwekwa katika sikio, lengo ni kuziba sikio la mtu wa ndani asiweze kusikia neno la Mungu na maagizo yake.
Kuchora tattoo ni uchawi kama uchawi mwingine, na asili ya tattoo ni kuzimu, IPO kuchafua mwili Ili kuondoa uwepo wa Mungu na kukaribisha mapepo.
Kufuga kucha ndefu na kupaka RANGI ni uchawi pia, lengo ni kufanya mtu afanane na misukule Ili baadae naye aende kuwa mfungwa katika gereza la shetani.
Kusuka Rasta Kwa asili tangu awali, Waganga wapiga ramli ndio Hasa walikuwa wakifuga Rasta Kwa maelekezo ya madhabahu Yao ya Giza, na Nia ni Roho ya Rasta ni kupeleka vifungo,kunasa akili na Fikra Ili uwe tu kichaa, kamwe usijitambue, utaona ukichaa na kufuga Rasta vinaendana.
Kuvaa suruali na mavazi ya kubana Kwa wanawake Nia ya shetani hapo ni kuwaangusha wanaume katika uzinzi na kupiga punyeto, sasa mwanao alisaidia vijana kujichua Kwa mavazi ya nusu uchi avaayo, anatumikia Ufalme upi kama Si wa Giza?
Kofia za kichwani, wigs kadhalika zipo kuondoa utulivu, kushika Fikra, kuondoa utulivu, hasira, sababu katika Ulimwengu wa Roho, wigs ni nyoka zilizosokotwa mtu anazivaa kichwani, sasa nani hapo anaabudiwa?
Mwili ni hekalu la Mungu,
Usilichafue.
Ubarikiwe 🙏