Makelele ya bandari yameishia wapi?

Makelele ya bandari yameishia wapi?

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Tumehamishwa Ukraine tumepekwa gaza, Je mnazisikia za Ukraine siku hizi ? Akili kichwani mwako. Na hapa tulikuwa na makelele ya Chadema na waarabu ,ikawa mpaka pa kutia mguu hakuna kila kitu ni bandari.

Je Chadema walikuwa wanatafuta kiki? Na kutaka kuwaburuza waTanzania kuwa nchi inauzwa kwa waarabu ? Hiki Chama ni hatari sana waliwakusanya mapadre na mashee wasiojielewa na kupanga uasi wa kuhakikisha Raisi samia au serikali ya CCM inapinduliwa au kuangushwa kabla ya uchaguzi mkuu ujao.

ilivyo ilihitajika hiki Chama kufutwa mara moja,leo hii wachochezi wote wamechawanyika baada ya mbinu zao za kuiangusha serikali kupigwa na chini,mkichaa kakimbilia Ulaya,Balaa kafungua chama chake na kengeza yupo yupo tu.
CCM oyee.
 
Kama huoni mapokezi ya Cardinal airport, Kama huoni ibada zisizo rasmi makanisani na sadaka kubwa kubwa, kama hutuoni tukitembelea cardinal kwenye makazi yake ya uaskofu. Bado nawe hujielewi. Hayo mambo hayawezi kuwa kama yalivyokuwa mwanzo. Kanisa lilishatoa msimamo wake. Bila shaka umeona watawala wanavyo respond. Otherwise wewe unashabikia upuuzi.
 
Tumehamishwa Ukraine tumepekwa gaza, Je mnazisikia za Ukraine siku hizi ? Akili kichwani mwako. Na hapa tulikuwa na makelele ya Chadema na waarabu ,ikawa mpaka pa kutia mguu hakuna kila kitu ni bandari.

Je Chadema walikuwa wanatafuta kiki? Na kutaka kuwaburuza waTanzania kuwa nchi inauzwa kwa waarabu ? Hiki Chama ni hatari sana waliwakusanya mapadre na mashee wasiojielewa na kupanga uasi wa kuhakikisha Raisi samia au serikali ya CCM inapinduliwa au kuangushwa kabla ya uchaguzi mkuu ujao.

ilivyo ilihitajika hiki Chama kufutwa mara moja,leo hii wachochezi wote wamechawanyika baada ya mbinu zao za kuiangusha serikali kupigwa na chini,mkichaa kakimbilia Ulaya,Balaa kafungua chama chake na kengeza yupo yupo tu.
CCM oyee.
Makelele yameishia kwa mwambukusi
 
Hustahili kujibiwa na watu wenye akili.
 
Back
Top Bottom