Makelele ya bandari yameishia wapi?

Makelele ya bandari yameishia wapi?

Kabisa tena, si Miislam hiyo?

Wewe ajuza usijitoe akili,waarabu wangapi/islam wamepewa maeneo mengi ndani ya nchi hii hayo yapi makernzi wa sgr ni wachina wale? Acha upuuzi,mkataba wa uwekezaji wa bandari sa100 na genge lake walikurupuka ndio mana makundi mbalimbali yalisimama kuupinga.

Usiwe kipofu kisa upuuzi wa dini za kuleteewa ukaacha utaifa wako.
 
Mpaja sasa toka wamepewa Waislam hiyo SGR iko wapi? Bwawa nalo wamepewa Waislam liko wapi?

Yule Magufuli sijuwi kwanini alifanya makosa, hata Rais katuletea Muislam, nchi inakufa sasa hii.
 
Kwani DP World ni kampuni ya nani? Hatutaki kabisa wapewe Waislam. Wana uwezo upi wa kuendesha bandari DO World? Watatujazia misikiti tu.
Wewe ni MWEHU
20220516_090645.jpg
 
Tumehamishwa Ukraine tumepekwa gaza, Je mnazisikia za Ukraine siku hizi ? Akili kichwani mwako. Na hapa tulikuwa na makelele ya Chadema na waarabu ,ikawa mpaka pa kutia mguu hakuna kila kitu ni bandari.

Je Chadema walikuwa wanatafuta kiki? Na kutaka kuwaburuza waTanzania kuwa nchi inauzwa kwa waarabu ? Hiki Chama ni hatari sana waliwakusanya mapadre na mashee wasiojielewa na kupanga uasi wa kuhakikisha Raisi samia au serikali ya CCM inapinduliwa au kuangushwa kabla ya uchaguzi mkuu ujao.

ilivyo ilihitajika hiki Chama kufutwa mara moja,leo hii wachochezi wote wamechawanyika baada ya mbinu zao za kuiangusha serikali kupigwa na chini,mkichaa kakimbilia Ulaya,Balaa kafungua chama chake na kengeza yupo yupo tu.
CCM oyee.
Chama kifutwe??!! CCM mbona italala usingiz wa pono.
 
Zungumza yote ila la bandari haliwezi kupoa, ili ni kaburi la ccm
Tumehamishwa Ukraine tumepekwa gaza, Je mnazisikia za Ukraine siku hizi ? Akili kichwani mwako. Na hapa tulikuwa na makelele ya Chadema na waarabu ,ikawa mpaka pa kutia mguu hakuna kila kitu ni bandari.

Je Chadema walikuwa wanatafuta kiki? Na kutaka kuwaburuza waTanzania kuwa nchi inauzwa kwa waarabu ? Hiki Chama ni hatari sana waliwakusanya mapadre na mashee wasiojielewa na kupanga uasi wa kuhakikisha Raisi samia au serikali ya CCM inapinduliwa au kuangushwa kabla ya uchaguzi mkuu ujao.

ilivyo ilihitajika hiki Chama kufutwa mara moja,leo hii wachochezi wote wamechawanyika baada ya mbinu zao za kuiangusha serikali kupigwa na chini,mkichaa kakimbilia Ulaya,Balaa kafungua chama chake na kengeza yupo yupo tu.
CCM oyee.
 
TEC wapo kwa maslahi ya Watanzania, Serikali yenu ipo kwa maslahi ya Waislam, hatutaki wapewe Waislam kuendesha chochote. Tazama hata wizara zote zinazoendeshwa na Waislam zilivyoharibika..
Neno Uislamu inakutoa akili FaizaFoxy . Nani anapambana na uislamu ?!.

Watu walipinga mkataba na vipengele vyake si hiyo dini yako.
 
Hilo mbona liko wazi kabisa? Ulikuwa huelewi?

Bandari asipewe Muislam kuiendesha.
Ujinga ni wakuzaliwa nao. Nchi nzima inaongozwa na Muislamu na hii ni mara ya tatu (Mwinyi,Kikwete na Leo Samia), hilo halikumipa taabu bali lilituletea sote neema na upendo. Leo tunaona BANDARI likipewa Mfadhili wa kiislamu Tanzania itaumia.
DP World has a portfolio of 78 operating marine and inland terminals supported by over 50 related businesses in 40 countries across six continents.
The portfolio of DP World in Europe consists of twelve inland terminals, strategically located in key economic centres throughout Germany, Switzerland, Belgium and France. Some of our terminals are fully owned by DP World, while others are operated in partnership such as Swissterminal, and DP World Liège Container Terminals SA. It is precisely because of our intensive collaboration with partners that our network can offer you 24/7 high-frequency trimodal connections as well as a comprehensive range of additional services. Explore what each location has to offer ( )

ANGALIA HAPA DPW INAMILIKI BANDARI ZAIDI YA 80 ULIMWENGUNI, Na nchi nyingi sio nchi za Waislamu, na zipo za ULAYA na UMarekani::
 
Tumehamishwa Ukraine tumepekwa gaza, Je mnazisikia za Ukraine siku hizi ? Akili kichwani mwako. Na hapa tulikuwa na makelele ya Chadema na waarabu ,ikawa mpaka pa kutia mguu hakuna kila kitu ni bandari.

Je Chadema walikuwa wanatafuta kiki? Na kutaka kuwaburuza waTanzania kuwa nchi inauzwa kwa waarabu ? Hiki Chama ni hatari sana waliwakusanya mapadre na mashee wasiojielewa na kupanga uasi wa kuhakikisha Raisi samia au serikali ya CCM inapinduliwa au kuangushwa kabla ya uchaguzi mkuu ujao.

ilivyo ilihitajika hiki Chama kufutwa mara moja,leo hii wachochezi wote wamechawanyika baada ya mbinu zao za kuiangusha serikali kupigwa na chini,mkichaa kakimbilia Ulaya,Balaa kafungua chama chake na kengeza yupo yupo tu.
CCM oyee.
Makelele yakasababisha waliojimilikisha nchi waondoe Muswada kwenye Bunge Lao la Ndiyooooo? Basi hayo Makelele Yana Moshi wa kutoa machozi.
Ni Fala tu asiyeona kazi iliyofanywa na CHADEMA na Kanisa Katoliki mpaka watu wamepeleka Kanzu Kwa Kadinali.
 
Tumehamishwa Ukraine tumepekwa gaza, Je mnazisikia za Ukraine siku hizi ? Akili kichwani mwako. Na hapa tulikuwa na makelele ya Chadema na waarabu ,ikawa mpaka pa kutia mguu hakuna kila kitu ni bandari.

Je Chadema walikuwa wanatafuta kiki? Na kutaka kuwaburuza waTanzania kuwa nchi inauzwa kwa waarabu ? Hiki Chama ni hatari sana waliwakusanya mapadre na mashee wasiojielewa na kupanga uasi wa kuhakikisha Raisi samia au serikali ya CCM inapinduliwa au kuangushwa kabla ya uchaguzi mkuu ujao.

ilivyo ilihitajika hiki Chama kufutwa mara moja,leo hii wachochezi wote wamechawanyika baada ya mbinu zao za kuiangusha serikali kupigwa na chini,mkichaa kakimbilia Ulaya,Balaa kafungua chama chake na kengeza yupo yupo tu.
CCM oyee.

Unaita kelele?. Punguza dharau. Kipindi Cha gesi ya Mtwara mliita malalamiko ya wananchi kelele. Leo gesi inaishia kwa wajanja na hata haisaiidi mgao wa umeme.
 
Back
Top Bottom