jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Kabisa tena, si Miislam hiyo?
Wewe ajuza usijitoe akili,waarabu wangapi/islam wamepewa maeneo mengi ndani ya nchi hii hayo yapi makernzi wa sgr ni wachina wale? Acha upuuzi,mkataba wa uwekezaji wa bandari sa100 na genge lake walikurupuka ndio mana makundi mbalimbali yalisimama kuupinga.
Usiwe kipofu kisa upuuzi wa dini za kuleteewa ukaacha utaifa wako.