Huitwa 'blepharospasm' ama 'eye 'twitching'...
Ahsante sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huitwa 'blepharospasm' ama 'eye 'twitching'...
Ahsante sana
Tazama post ya mwanzo nimeongeza sababu zake...
Squint or strabismus
Na ile jicho kama linacheza cheza ni nini? Na inasababishwa na nini?
Kama nachoka sana (fatigue), also Stress and too much cafeine. There is no significant reason.
Na ile jicho kama linacheza cheza ni nini? Na inasababishwa na nini?
Lure and Bait -ni chambo -kitu tamanisha ambacho chenyewe si mtego bali component ya mtego!ni LURE au BIAT
mkuu kama anakutega kimapenzi neno seduce nahisi linafaa...ila kwa muktadha wa polisi au huo wa mabeki neno tega linaweza kuwa trap au plot .....baada ya kusema hayo mimi nilikuwa nauliza neno "kigugumizi" kwa kiingereza ni nn?
Lazy eye
Fikiria zaidi ya hapo ulipofikiria...sio kwamba dictionary hakuna...ishu ni context ya neno...
Kigugumizi ni "stutter." Unaweza kulicheki zaidi online kuna maelezo mazuri.
Kuhusu "kutega," nililifikiria hilo neno "trap," ahsante sana, lakini nikakwama mahala. Tatizo la trap ni kwamba, ukisema "the police trapped the thief" inamaanisha wamemkamata mtegoni tayari. Mimi nataka kabla hawajambaka mtegoni, wamemtega tu. Ndo hapo "trap" inapogomba.