Makeup za wadadaza zinawapendeza kweli?

Quetzal

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
6,343
Reaction score
10,799
Mimi naona kuna watu wanapaka makeup mpaka nashangaaa...Yaaani nawaza hichi kitu gani?

Au labda ni macho yangu tu...Yaaani unakuta mtu kapaka makeup badala ya kuehance beuty inakuwa tofauti.

Kuna wengine wanapendeza kweli....Lakini WENGINE hapana.
 
Hao kwenye picha wapo kundi lipi kati ya hayo uliyotaja?
 
Wanakuwa kama midoli si midoli yani mtu anajipiga makeup anakuwa kama kajipaka unga yani ni too much. Ila mimi kati ya vitu ambavyo sijawahi kuelewa kwenu akina dada, ni kunyoa nyusi halafu mkazichora kwa penseli. Wallah sijawahi kuelewa uwa mnamaanisha nini.
 
Ingia Kondoa Sehemu Inaitwa Mondo, Vitu Tele Shombe Shombe
 
Hao kwenye picha wapo kundi lipi kati ya hayo uliyotaja?
Ndo Mana nikasema labda Ni macho Yangu....minaona Kama wapo tofauti Sana...

Naona kama wanakandikwa Sana...labda Ni preference coz ...NAPENDA light makeup
 
Mimi km mwanaume nitasema jinsi navyoona kwa mtazamo wangu mimi..

Kuna makundi manne
1.wanapaka make up haziwapendezi sababu wame complicate mambo km huyo dada hasa wa kwanza.

2.wanapaka make up hlf wanakuwa km hawajapaka make up yaani make up zao zipo simple hazing’ai sana kapaka km hajapaka hivi.Hawa uwaga wanapendeza tena sanaaaa

3.sura zao sio za make up yaani wao ni wazuri bila make up wakipaka unamuona km ndo kawa mbaya hivi kuliko alivyobaki bila make up

4.Sura zao bila make up hawapendezi hawa wanaitaji booster..m

Ninachoamini mimi wanawake wengi wanapendeza wakipaka make simple ila tukirudi mtaani wanaopaka simple ni wachache hence wapaka make up wengi hawapendezagi sababu hawapaki simpe simple,wanapania sana.
 
Haya Nayo Ni Mahangaiko Ya Maisha Kwa Kweli
Ujanjaujanja Mwingi Sana
 
Nikweli...kunawengine wanapendeza Sanaa...NA KUNA mamakeup Artis huwa hawakosei...

Ila Wengine naona Kama too much.
 
Hiyo ilikuwa style ya ZAMANI sanaaaa.....Kunawengine wanachora tattoo kwenye wanja...Yaani yeye ananyoa TU nyuzi zote zikiota anabaki na ile tattoo.
 
Weka hapa picha yako bila make up na nyingine ukiwa na make up, tupate pa kuanzia kuilaumu serikali ya awamu ya viwanda hewa
Mimi Sijawai kupaka professional makeup..Mkuu...najipaka TU lipstick na wanja...na creme to powder..
 
3. Nitaoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…