Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
John Mnyika akiwa ni mbunge na Anna Makinda Spika wa bunge, kuliendeshwa mjadala wa ama ni sahihi wakuu wa Wilaya na mikoa kuwa mamlaka ya nidhamu Kwa mahakimu au si sahihi.
Mjadala ule ulioendeshwa mpaka zaidi ya saa nne usiku Mnyika alipinga kabisa wakuu wa mikoa na wilaya kuwa mamlaka ya nidhamu Kwa mahakimu.
CCM walipitisha Sheria ile kwa "Kishindo" kama kawaida yao.
Leo miaka kadhaa baadae, Jaji Mkuu anataka Sheria ile ile iliyopingwa na Mnyika na kupitishwa na CCM, iondolewe na CCM wale wale walioitunga.
CCM ni chama kinachotutia umasikini.