Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Halafu wala hawajui wanachotaka.
Nchi inapitia changamoto sanaHuwa hawajui wanachokipitisha mpaka kilete madhara kwenye jamii..
Hadi Inakera... Mnyika alijitahidi kuwaelewesha lakini wapi... CCM wakiwa na jambo lao hata kama ni la kijinga watalishadadia mpaka utashangaa.Huwa hawajui wanachokipitisha mpaka kilete madhara kwenye jamii..
Hili ni jepesi sana. Mtu yeyote mwenye locus standi afungue shauri la kikatiba kupinga hiyo sheria. Hakuna shaka kwamba hiyo sheria itakuwa declared unconstitutional na kuwa struck down!John Mnyika akiwa ni mbunge na Anna Makinda Spika wa bunge, kuliendeshwa mjadala wa ama ni sahihi wakuu wa Wilaya na mikoa kuwa mamlaka ya nidhamu Kwa mahakimu au si sahihi.
Mjadala ule ulioendeshwa mpaka zaidi ya saa nne usiku Mnyika alipinga kabisa wakuu wa mikoa na wilaya kuwa mamlaka ya nidhamu Kwa mahakimu.
CCM walipitisha Sheria ile kwa "Kishindo" kama kawaida yao.
Leo miaka kadhaa baadae, Jaji Mkuu anataka Sheria ile ile iliyopingwa na Mnyika na kupitishwa na CCM, iondolewe na CCM wale wale walioitunga.
CCM ni chama kinachotutia umasikini.
Nakumbuka siku hiyo hadi Waziri Mkuu Mizengo Pinda alikubaliana na wapinzani kuwa si sahihi wakuu wa mikoa na wilaya kuwa sehemu ya kamati ya nidhamu ya Mahakama. Spika Makinda akamuuliza Pinda kwa kumshinikiza abadili msimamo wake. Pinda akaanza kujiuma kwa kuwaogopa wanaccm wenzake, lakini ujumbe ulikuwa umefika.John Mnyika akiwa ni mbunge na Anna Makinda Spika wa bunge, kuliendeshwa mjadala wa ama ni sahihi wakuu wa Wilaya na mikoa kuwa mamlaka ya nidhamu Kwa mahakimu au si sahihi.
Mjadala ule ulioendeshwa mpaka zaidi ya saa nne usiku Mnyika alipinga kabisa wakuu wa mikoa na wilaya kuwa mamlaka ya nidhamu Kwa mahakimu.
CCM walipitisha Sheria ile kwa "Kishindo" kama kawaida yao.
Leo miaka kadhaa baadae, Jaji Mkuu anataka Sheria ile ile iliyopingwa na Mnyika na kupitishwa na CCM, iondolewe na CCM wale wale walioitunga.
CCM ni chama kinachotutia umasikini.
Hiyo mahakama yenyewe huwa inaletewa sheria za kipuuzi na wanazikubali badala ya kusema sio sheria sahihi. Wanaona kabisa sheria inatungwa kiitikadi lakini wanatulia tu. Mwanasheria Popo Paskali Mayalla enzi hizo anatumia id ya Pasco kabla ya kujichanganya alikuwa kimya tu!Hili ni jepesi sana. Mtu yeyote mwenye locus standi afungue shauri la kikatiba kupinga hiyo sheria. Hakuna shaka kwamba hiyo sheria itakuwa declared unconstitutional na kuwa struck down!
CCM wala hawasomi sheria wanazopitisha. Kazi ni kugonga meza, bora liende.Halafu wala hawajui wanachotaka.
nadhani unaongelea U.S.A au British! Right?Hili ni jepesi sana. Mtu yeyote mwenye locus standi afungue shauri la kikatiba kupinga hiyo sheria. Hakuna shaka kwamba hiyo sheria itakuwa declared unconstitutional na kuwa struck down!
Wanahitaji kukombolewa. Uchawa unautafuna Mhimili wa Mahakama. Kila mazafaka anajitengenezea mazingira ya kulamba presidential appointment!Hiyo mahakama yenyewe huwa inaletewa sheria za kipuuzi na wanazikubali badala ya kusema sio sheria sahihi. Wanaona kabisa sheria inatungwa kiitikadi lakini wanatulia tu. Mwanasheria Popo Paskali Mayalla enzi hizo anatumia id ya Pasco kabla ya kujichanganya alikuwa kimya tu!
Shida kubwa ya ccm inaanzia katika katiba ya chama chake...John Mnyika akiwa ni mbunge na Anna Makinda Spika wa bunge, kuliendeshwa mjadala wa ama ni sahihi wakuu wa Wilaya na mikoa kuwa mamlaka ya nidhamu Kwa mahakimu au si sahihi.
Mjadala ule ulioendeshwa mpaka zaidi ya saa nne usiku Mnyika alipinga kabisa wakuu wa mikoa na wilaya kuwa mamlaka ya nidhamu Kwa mahakimu.
CCM walipitisha Sheria ile kwa "Kishindo" kama kawaida yao.
Leo miaka kadhaa baadae, Jaji Mkuu anataka Sheria ile ile iliyopingwa na Mnyika na kupitishwa na CCM, iondolewe na CCM wale wale walioitunga.
CCM ni chama kinachotutia umasikini.
Tanzania. Uamuzi wa shauri linalohusu sheria inayowakandamiza wao wenyewe hawawezi kuupindisha!nadhani unaongelea U.S.A au British! Right?