Makinda ashangaa wasomi wanaokula bure makwao

Tupo ambao hatuchagui kazi ukweli ni kwamba izo kazi hazipo, hata ukiomba kibarua cha kubeba tofali utaambiwa nafasi hakuna, vijiwe vya kuosha magari, vibarua saidia fundi n.k hakuna chochote mkuu kila kitu ni connection, ukisema ulime hayo mashamba ya kuajiriwa yako wapo au eneo lisilokua na umiliki unafika unafyeka tu unalima liko wapi, vipi mbolea pembejeo wapi zinatolewa bure.. kama hauna wa kukushika mkono mtaani ni pagumu ndugu
 
Anna Makinda.......ipo siku tutakuja kufukua huu uzi kwa references ya vizazi vinavyo,.......muda utaamua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…