mosses15
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 992
- 2,266
Elimu iboreshwe ili raia wajitambue vizuri?. Hujui kwa sisi watu weusi ujinga ni mtaji kwa wanasiasa ili waweze kutawala na kufanya ufisadi bila kuhojiwa na bado wakipita barabaran wanapigiwa shangwe.Unahesabiwa ili usimangawe (jokes).
===
Kuna shida kwenye mitaala yetu maneno ya Mama Makinda yapewe uzito unaostaili. Wahitimu wetu wanashindwa kutumia elimu waliyopata kujitengenezea sehemu za kujiingizia kipato. Hili ni tatizo (serious). Litatuliwe.
Nikupe mfano mdogo tu, wabunge wengi wapiga kura wao ni watu wa hali ya chini kabisa. Na wengi hata uelewa wao na familia zao ni mdogo sana sababu ya kukosa elimu bora. Hii inapelekea kumpitisha mwakilishi huyo huyo hata kama hakuna jambo la maana analofanya.