Hana miaka 19 huyu,huyu umri 20+Hawa ndio makinda wanaotabiriwa kufanya makubwa mbeleni
1.CYPRIAN KACHWELE
-Amezaliwa November 2007 ana miaka 15 ni mshambuliaji aliyekulia kwenye academy ya Azam na anayefanya vizuri kwenye kikosi Cha Azam na anayetazamiwa kuwa rashford wa Azam
3.CLEMENT MZIZE
Ni mshambuliaji wa yanga kinda aliyefanya vizuri na amekuwa surprise kwa mashabiki na wapenzi wa yanga.Clement Mzize amezaliwa mwaka 2003 ana miaka 19 ana miaka mingi mbeleni kukuza kiwango chake
View attachment 2554318View attachment 2554319View attachment 2554323View attachment 2554324
View attachment 2554330
amemsahau john bocco ana miaka 22 anachezea mabingwa wa makundi cafHana miaka 19 huyu,huyu umri 20+
Hakuna aliyewahi kumuita john bocco kinda, ipo wazi kuwa umri umesogea,, ila hongereni wonderkid mnao wengi nasikia kisinda ndo kwanza ametimiza miaka 22amemsahau john bocco ana miaka 22 anachezea mabingwa wa makundi caf
Nimejaribu kumfananisha na mdogo wangu mwenye miaka 15 ni kushoto na kulia huyu mwamba anazaidi ya 26View attachment 2554342
Huyu mtu ana miaka 15?
Asee jamani tuache uongo.
Hawa ndio kama yule jamaa mgabon amezaliwa mwaka 1995 lakini mama yake mzazi alifariki 1988. Maajabu.
Wewe ni Mama yake?Mzize sio chini ya miaka 26 na huyo kachwele hajazaliwa 2007 wasituone mazuzu
Kudanganya umri ni jambo moja ila huyu mwamba atakuwa amegawa umri wake kwa 2. Anaweza hata kuwa ameshafika hata 30+View attachment 2554342
Huyu mtu ana miaka 15?
Asee jamani tuache uongo.
Hawa ndio kama yule jamaa mgabon amezaliwa mwaka 1995 lakini mama yake mzazi alifariki 1988. Maajabu.
Mnaposemaga Onyango mzee, nyie ni mama yakeWewe ni Mama yake?
+5 years, unapata umri wake sahihi.View attachment 2554342
Huyu mtu ana miaka 15?
Asee jamani tuache uongo.
Hawa ndio kama yule jamaa mgabon amezaliwa mwaka 1995 lakini mama yake mzazi alifariki 1988. Maajabu.
Miaka 15 ugoko umeshachachamaa hivyo.View attachment 2554342
Huyu mtu ana miaka 15?
Asee jamani tuache uongo.
Hawa ndio kama yule jamaa mgabon amezaliwa mwaka 1995 lakini mama yake mzazi alifariki 1988. Maajabu.
Wewe ndevu zote hizo bado unamtegemea mama? Hama nyumbani umeshakuaWewe ni Mama yake?