Makinda hodari wanaotegemewa kufanya vizuri Tanzania

Makinda hodari wanaotegemewa kufanya vizuri Tanzania

junky

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
413
Reaction score
978
Hawa ndio makinda wanaotabiriwa kufanya makubwa mbeleni

1. CYPRIAN KACHWELE
Amezaliwa November 2007 ana miaka 15 ni mshambuliaji aliyekulia kwenye academy ya Azam na anayefanya vizuri kwenye kikosi Cha Azam na anayetazamiwa kuwa rashford wa Azam.

1678995497940.jpg



3.CLEMENT MZIZE
Ni mshambuliaji wa yanga kinda aliyefanya vizuri na amekuwa surprise kwa mashabiki na wapenzi wa yanga.Clement Mzize amezaliwa mwaka 2003 ana miaka 19 ana miaka mingi mbeleni kukuza kiwango chake.

1678995600052.jpg




View attachment 2554333
 

Attachments

  • 1678995545154.jpg
    1678995545154.jpg
    51.1 KB · Views: 5
Hawa ndio makinda wanaotabiriwa kufanya makubwa mbeleni

1.CYPRIAN KACHWELE

-Amezaliwa November 2007 ana miaka 15 ni mshambuliaji aliyekulia kwenye academy ya Azam na anayefanya vizuri kwenye kikosi Cha Azam na anayetazamiwa kuwa rashford wa Azam


3.CLEMENT MZIZE

Ni mshambuliaji wa yanga kinda aliyefanya vizuri na amekuwa surprise kwa mashabiki na wapenzi wa yanga.Clement Mzize amezaliwa mwaka 2003 ana miaka 19 ana miaka mingi mbeleni kukuza kiwango chake



View attachment 2554318View attachment 2554319View attachment 2554323View attachment 2554324
View attachment 2554330
Hana miaka 19 huyu,huyu umri 20+
 
View attachment 2554342
Huyu mtu ana miaka 15?

Asee jamani tuache uongo.

Hawa ndio kama yule jamaa mgabon amezaliwa mwaka 1995 lakini mama yake mzazi alifariki 1988. Maajabu.
Kudanganya umri ni jambo moja ila huyu mwamba atakuwa amegawa umri wake kwa 2. Anaweza hata kuwa ameshafika hata 30+

Anafidia miaka aliyopoteza.
 
Asee hicho kidume Cha Azam kina 15!!?
Mbna wachezaji wanazeeka haraka 🤣🤣.
 
Back
Top Bottom