Makinika na masharti ya waganga wa kienyeji

Makinika na masharti ya waganga wa kienyeji

Kisa cha wanandoa walioachanishwa kisheria wiki hii baada ya kuishi pamoja kwa miaka 21 kimenitafakarisha sana... Tatizo sio kuachana bali ni sababu za kuachana
Mwanaume hakuwa na korodani (lugha isiyovaa nguo korodani ni pumbu) hizi ndio kiwanda cha manii zinazoleta malighafi ya kuumba watoto
Bila manii hakuna msisimko wa ngono
Bila manii hakuna ashiki inayoleta hisia za kuwa na mwenza
Ni afadhali kidogo uwe na 'low sperm count lakini si kukosa kabisa...!!

Kisa cha leo ni cha ajabu kwakuwa tunaambiwa hawajawahi kufanya ngono kwa miaka 18 ndani ya miaka 21 ya ndoa....kuna maswali muhimu hapa
Je walioana jamaa akiwa hana korodani? Mlemavu wa kukosa korodani
Je hiyo miaka mitatu ndani ya miaka 21 ya ndoa walingonoka?
Maswali ni mengi sana...lakini kama alikuwa hana korodani tangu mwanzo mwanamke alikubalije ndoa? Huu ulemavu ni wa aina yake..!!!
Inawezekana kuna kitu kilitokea hapo katikati kilichotembea na kiwanda cha kuzalisha malighafi za kufyatua watoto..

Wakati tunaendelea kutafakari haya niwape kisa kimoja
Jamaa mmoja akiwa kwenye ndoa kwa miaka mitano hivi alishikwa tamaa akatembea na mwanafunzi kipindi kile cha Maumba
Kesi ikaenda mahakamani lakini kwa upendo mkuu mume asifungwe mke akatafuta mganga
Mganga akasema anaweza kuzipoteza nyeti za jamaa ili ushahidi uthibitishe kuwa jamaa hana nyeti hivyo hawezi kubaka...

Siku ya hukumu kwenye utetezi mganga akafanya yake kilingeni... Jamaa akajitetea kuwa hana nyeti hivyo hawezi kubaka ...Alipotakiwa kuithibitishia mahakama pasi kuacha shaka jamaa alichojoa gagulo lake na kuonekana flat kabisa ana kitobo tu cha haja ndogo

Mahakama ikajiridhisha na ushahidi na kumwachia huru... Wanafamilia wakafurahi na kumchukua baba waende kwa mganga akarudishe mashine
Kufika kwa mganga wanakuta turubai... Mganga kafa kifo cha ghafla....[emoji2957][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Najaribu kulinganisha hivi visa viwili na masharti ya mganga....!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii stori ya kusadikika tu mzee
 
Mahakamani hamna hiyo procedure ya kuvua nguo,
Kama lingetokea hilo angeenda hospitali na ripoti ya daktari ndo ingwonyesha jamaa hana via vya kiume.
Pia nivizuri kukumbuka kuna biological impotent na legal impotent.

Ila ujumbe tumeupata Mzee wetu.
 
Mahakamani hamna hiyo procedure ya kuvua nguo,
Kama lingetokea hilo angeenda hospitali na ripoti ya daktari ndo ingwonyesha jamaa hana via vya kiume.
Pia nivizuri kukumbuka kuna biological impotent na legal impotent.

Ila ujumbe tumeupata Mzee wetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545] zamani kulikuwa na chumba nyuma ya mahakama cha kuthibitisha mbele ya hakimu na daktari na mshtaki
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545] zamani kulikuwa na chumba nyuma ya mahakama cha kuthibitisha mbele ya hakimu na daktari na mshtaki
Kwamba victim anaambiwa ademonstrate aliingiliwaje😂😂😂😂😂
 
Kwamba victim anaambiwa ademonstrate aliingiliwaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh hii kali [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hapana nilimaanisha kama zipo au hazipo[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Mada maalum kwa wanandoa
 
JamiiForums-1880355704.jpg
 
Hio miaka 18 mwanamke atakuwa alikuwa anatumia mbinu za medani..

Mapenzi uFalla sana
 
Miaka 21 ya ndoa. Ndani ya miaka 18 hawajawahi kufanya tendo la ndoa.

Maana yake ndani ya miaka mitatu walifanya.

Swali la kujiukiza ni je, baada ya miaka mitatu ndo mapumbu yakatoweka?? Nini kilitowesha??

Mke baada ya kujua mumewe hana mapumbu alichukua hatua gani? Au aliendelea kuwa na matumaini kuwa siku moja yanaweza kuota kama uyoga wa pori??
Haya maswali huwa wanauliza wanasheria mahakani ni ya kuudhi lakini ya msingi
 
Back
Top Bottom