Makinika na masharti ya waganga wa kienyeji

Makinika na masharti ya waganga wa kienyeji

Kisa cha wanandoa walioachanishwa kisheria wiki hii baada ya kuishi pamoja kwa miaka 21 kimenitafakarisha sana... Tatizo sio kuachana bali ni sababu za kuachana
Mwanaume hakuwa na korodani (lugha isiyovaa nguo korodani ni pumbu) hizi ndio kiwanda cha manii zinazoleta malighafi ya kuumba watoto
Bila manii hakuna msisimko wa ngono
Bila manii hakuna ashiki inayoleta hisia za kuwa na mwenza
Ni afadhali kidogo uwe na 'low sperm count lakini si kukosa kabisa...!!

Kisa cha leo ni cha ajabu kwakuwa tunaambiwa hawajawahi kufanya ngono kwa miaka 18 ndani ya miaka 21 ya ndoa....kuna maswali muhimu hapa
Je walioana jamaa akiwa hana korodani? Mlemavu wa kukosa korodani
Je hiyo miaka mitatu ndani ya miaka 21 ya ndoa walingonoka?
Maswali ni mengi sana...lakini kama alikuwa hana korodani tangu mwanzo mwanamke alikubalije ndoa? Huu ulemavu ni wa aina yake..!!!
Inawezekana kuna kitu kilitokea hapo katikati kilichotembea na kiwanda cha kuzalisha malighafi za kufyatua watoto..

Wakati tunaendelea kutafakari haya niwape kisa kimoja
Jamaa mmoja akiwa kwenye ndoa kwa miaka mitano hivi alishikwa tamaa akatembea na mwanafunzi kipindi kile cha Maumba
Kesi ikaenda mahakamani lakini kwa upendo mkuu mume asifungwe mke akatafuta mganga
Mganga akasema anaweza kuzipoteza nyeti za jamaa ili ushahidi uthibitishe kuwa jamaa hana nyeti hivyo hawezi kubaka...

Siku ya hukumu kwenye utetezi mganga akafanya yake kilingeni... Jamaa akajitetea kuwa hana nyeti hivyo hawezi kubaka ...Alipotakiwa kuithibitishia mahakama pasi kuacha shaka jamaa alichojoa gagulo lake na kuonekana flat kabisa ana kitobo tu cha haja ndogo

Mahakama ikajiridhisha na ushahidi na kumwachia huru... Wanafamilia wakafurahi na kumchukua baba waende kwa mganga akarudishe mashine
Kufika kwa mganga wanakuta turubai... Mganga kafa kifo cha ghafla....[emoji2957][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Najaribu kulinganisha hivi visa viwili na masharti ya mganga....!!!!
Mshana Jr una hadithi wewe aisee hatukuwezi
 
Najiuliza swali. Je wana watoto? Kama wanao basi najenga nadharia (far fetched).
1. Inawezekana chanzo cha ulemavu ni mwanamke, kutokana na wivu wa mapenzi aliamua kuzikata na akamvumilia kwa sababu yeye ndio chanzo.
2. Inawezekana ni masharti ya mganga ili wapate utajiri. Na ilikuwa siri yao kwa miaka yote hiyo.
Otherwise, hayanihusu.
Upo Karibu na ukweli.
 
JamiiForums1473104950.jpg
 
Miaka 21 ya ndoa. Ndani ya miaka 18 hawajawahi kufanya tendo la ndoa.

Maana yake ndani ya miaka mitatu walifanya.

Swali la kujiukiza ni je, baada ya miaka mitatu ndo mapumbu yakatoweka?? Nini kilitowesha??

Mke baada ya kujua mumewe hana mapumbu alichukua hatua gani? Au aliendelea kuwa na matumaini kuwa siku moja yanaweza kuota kama uyoga wa pori??
Hapana walitengana baada ya miaka 18 ila kesho iliisha 2021 hivyo hii miaka mingine mitatu ya mwisho hakuwa pamoja
 
Back
Top Bottom