Siwezi elewa mada ya kishirikinaBasi sawa,
MADA umeelewa barabara!!
Ubarikiwe!!
Ni Bora kuamini kuliko kutoamini.Ndo zenu walolole kujifanya wajuaji. Wenye kujua kila kitu wengine hawajui chochote.
Bt Unasoma na kuchangia mada hiyo hiyo unayoita ya kishirikina!!Siwezi elewa mada ya kishirikina
Kila mtu abaki na mawazo yake. Sio lazima watu waamini testimony yako...Ni Bora kuamini kuliko kutoamini.
Nimetoa testimony, halafu watu wanataka kuniaminisha waonavyo wao, hii Si sawa.
Ikiwa huamini, Baki hivyo hivyo.
Lazima kusoma kila kitu ili kujifunza. Usipojifunza unakuwa rahisi kudanganyika na kutapeliwa na strory za uongo na kweli.Bt Unasoma na kuchangia mada hiyo hiyo unayoita ya kishirikina!!
Basi sawa.Kila mtu abaki na mawazo yake. Sio lazima watu waamini testimony yako...
Kwanini unataka tuamini?
SIKU AMUA TOKA MOYONI ANZA KUOMBA UTAYAONA TU MAMBO YA ROHONIHakuna cha mambo ya rohoni mkuu ,ili nitatzo la akili .
Mkuu siombagi kitu chochote , nikitaka kupata kitu nakijengea mkakati wa kukipata kwa njia halali , nikiona kipo njee ya uwezo wangu napotezea tu na maisha nayafurahia sana tu, sawa bwana yuda🤗SIKU AMUA TOKA MOYONI ANZA KUOMBA UTAYAONA TU MAMBO YA ROHONI
USIOMBE UKIWA NA HIYO AKILI YAKO YA KUWA HAKUNA MUNGU HAPO KWELI HAUTO YAONA MILELE MAANA MUNGU HAPIMWI.
MUNGU YUPO NA ANATENDA KAZI KWA MWANAE YESU KRISTO
KWANI BABA YAKO NA WEWE NANI MKUBWAMkuu siombagi kitu chochote , nikitaka kupata kitu nakijengea mkakati wa kukipata kwa njia halali , nikiona kipo njee ya uwezo wangu napotezea tu na maisha nayafurahia sana tu, sawa bwana yuda[emoji847]
Wew unaonaje bwana yuda🙆♀KWANI BABA YAKO NA WEWE NANI MKUBWA
Kufuga na kuishi nao ndani ya nyumba ni vitu viwili tofauti kabisa.Hivyo vitu vinatokea tu pepo anaweza kumwingia kitu chochote Ata
Mke au mtoto au Mume ila kinachotakiwa ni kumwomba sanaaa Mungu akupe macho ya Rohoni kuona vita vyako unapiganaje, kusema tusifuge paka mbwa unakosoa uumbaji wa Mungu
Alafu watu wengi hawajui kuwa kumtendea mnyama uovu una weza kukuweka hatiani kumbwa mbele ya mwenyezi mungu na ukaingia motoni.Kuna mtu na mkewe hawapendi hapendi paka . Juzijuzi w1kamuwekea paka sumu akafa. Kuna mzungu alikuwa anawapa chakula , siku anakuja anaambiwa paka mmoja kafa, yeye hakujua kama kalishwa sumu. Roho ilimuuma balaaa, ila mpaka leo hajui kama alipewa sumu. Ila yule baba naye alikufa kwa ajali wiki 2 baada ya yule paka kufa.
Lete andiko.Alafu watu wengi hawajui kuwa kumtendea mnyama uovu una weza kukuweka hatiani kumbwa mbele ya mwenyezi mungu na ukaingia motoni.