Makinika na mijusi wa ndani ya nyumba!

Makinika na mijusi wa ndani ya nyumba!

Ndo zenu walolole kujifanya wajuaji. Wenye kujua kila kitu wengine hawajui chochote.
Ni Bora kuamini kuliko kutoamini.

Nimetoa testimony, halafu watu wanataka kuniaminisha waonavyo wao, hii Si sawa.

Ikiwa huamini, Baki hivyo hivyo.
 
Ni Bora kuamini kuliko kutoamini.

Nimetoa testimony, halafu watu wanataka kuniaminisha waonavyo wao, hii Si sawa.

Ikiwa huamini, Baki hivyo hivyo.
Kila mtu abaki na mawazo yake. Sio lazima watu waamini testimony yako...
Kwanini unataka tuamini?
 
Bt Unasoma na kuchangia mada hiyo hiyo unayoita ya kishirikina!!
Lazima kusoma kila kitu ili kujifunza. Usipojifunza unakuwa rahisi kudanganyika na kutapeliwa na strory za uongo na kweli.
 
Hakuna cha mambo ya rohoni mkuu ,ili nitatzo la akili .
SIKU AMUA TOKA MOYONI ANZA KUOMBA UTAYAONA TU MAMBO YA ROHONI

USIOMBE UKIWA NA HIYO AKILI YAKO YA KUWA HAKUNA MUNGU HAPO KWELI HAUTO YAONA MILELE MAANA MUNGU HAPIMWI.

MUNGU YUPO NA ANATENDA KAZI KWA MWANAE YESU KRISTO
 
Walokole mna shida sana.
juzi mlokole mmoja anambia hanywi dawa za mitishamba bali vidonge tu, kwani mitishamba ni upagan. Imani zenu zinawapunguzia reasoning kabisa.

vimijusi hivi tunaishi navyo tu Miaka yote. Kama unaishi maeneo ambayo uoto wa asili ni mwingi, hawa mijusi ni viumbe wa kawaida kabisa.

Kapime malaria na mkeo. Kama hamna, basi hamsakatani vya kutosha. Mkeo umshughulikie kisawasawa, anaanzaje kuota mijusi?
 
SIKU AMUA TOKA MOYONI ANZA KUOMBA UTAYAONA TU MAMBO YA ROHONI

USIOMBE UKIWA NA HIYO AKILI YAKO YA KUWA HAKUNA MUNGU HAPO KWELI HAUTO YAONA MILELE MAANA MUNGU HAPIMWI.

MUNGU YUPO NA ANATENDA KAZI KWA MWANAE YESU KRISTO
Mkuu siombagi kitu chochote , nikitaka kupata kitu nakijengea mkakati wa kukipata kwa njia halali , nikiona kipo njee ya uwezo wangu napotezea tu na maisha nayafurahia sana tu, sawa bwana yuda🤗
 
Mkuu siombagi kitu chochote , nikitaka kupata kitu nakijengea mkakati wa kukipata kwa njia halali , nikiona kipo njee ya uwezo wangu napotezea tu na maisha nayafurahia sana tu, sawa bwana yuda[emoji847]
KWANI BABA YAKO NA WEWE NANI MKUBWA
 
Hivyo vitu vinatokea tu pepo anaweza kumwingia kitu chochote Ata
Mke au mtoto au Mume ila kinachotakiwa ni kumwomba sanaaa Mungu akupe macho ya Rohoni kuona vita vyako unapiganaje, kusema tusifuge paka mbwa unakosoa uumbaji wa Mungu
 
Hivyo vitu vinatokea tu pepo anaweza kumwingia kitu chochote Ata
Mke au mtoto au Mume ila kinachotakiwa ni kumwomba sanaaa Mungu akupe macho ya Rohoni kuona vita vyako unapiganaje, kusema tusifuge paka mbwa unakosoa uumbaji wa Mungu
Kufuga na kuishi nao ndani ya nyumba ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Kuna mtu na mkewe hawapendi hapendi paka . Juzijuzi w1kamuwekea paka sumu akafa. Kuna mzungu alikuwa anawapa chakula , siku anakuja anaambiwa paka mmoja kafa, yeye hakujua kama kalishwa sumu. Roho ilimuuma balaaa, ila mpaka leo hajui kama alipewa sumu. Ila yule baba naye alikufa kwa ajali wiki 2 baada ya yule paka kufa.
Alafu watu wengi hawajui kuwa kumtendea mnyama uovu una weza kukuweka hatiani kumbwa mbele ya mwenyezi mungu na ukaingia motoni.
 
Wachawi na imani zao za kichawi
Ttzo watu weng mnasumbuliwa na uchumi sasa akili zimekua nzito kuwaza mambo ya msingi maya maana
Mara mijusi weupe ni sumu funika vyakula
Mara mijisi weupe ni antena za kichawi

Hao mijusi weupe miaka yote wapo majumbani kwetu uwe maskini kapuku uwe tajiri wale mijusi weupe sku zote wapo na ata ukipiga dawa vipi watahama kwa muda na kurejea

Watu uchumi ukivurugika huwa tunachanganyikiwa sana sa unashauri watu wasifige mbwa wala paka huone ww akili yako imefika mwisho wa kufikili

Watu wamefunga mbwa na paka miaka na miak leo hii unaleta iman zako za kishirikina kisa tu akili yako imefika ukomo wa kuwaza

Unakosa hewa usiku sabu ya kujaa kwa vitu chumban kwako, uchafu wa kitanda na mashuka na wakat mwingne unakosa hewa kutokana na changamoto za kiafya sio kuleta iman zako
 
Back
Top Bottom