Makinika na mijusi wa ndani ya nyumba!

Kwa hili bandiko jamaa anaenda kufukuza mke na watoto
 
Mbwa hapana. Mbwa kapewa binadamu kama mlinz wa fiscally things na spiritual thing's hasa usiku. Mbwa ana uwezo wa kuona jini na kubweka
 
Pumbavu
 
Kwa hiyo ww una akili kumzidi Mungu aliye waumba hao paka?
Alafu kwann akomalie paka tu hali yakuwa nimesha kwambia kuwa mchawi anaweza kutumia mnyama wa aina yeyote na hata watu wako unao ishi nao ndani kwako?

Ww kama huwapendi paka ni ww na ni haki yako lakini isiwe sababu ya kuwapazia ubaya wasio kuwa nao.

Nimesha kwambia kuna wanyama maalum kwa ajili ya kukaa kwenye mabanda na wengine hawajaubwa kukaa kwenye mabanda.

Paka sio mnyama aliye umbwa kwa ajili ya kukaa ndani ya banda bali ni mnyama aliye umbwa kuwa huru na kuingia popote anapo pataka na ndio maana ana asili ya usafi.

Usishangae huyo mkeo ndo mchawi mwenyewe na hayo mauza uza yanayo endelea makeo ndo muhusika mkuu.

Alafu punguza mawazo ya kuwaza kurogwa kila saa.
 
Tena ni ulemavu mbaya mno.Hapo anaua viumbe wa Mungu bila sababu za msingi alafu anasingizia alikua anapigana vita.Unaweza kuta ni mandoto tu ya kawaida ambayo kila mtu anayaota ila mwenzako anawaza kulogwa.Aliyeleta hizi dini alituweza sana.
Alafu nashangaa yeye amekomalia paka na mbwa kisa ameambiwa na mchungaji wake bila kujua kuwa wachawi wanaweza kutumia kitu chochote kilicho karibu na ww akiwemo mkeo na watoto wako kukudhuru.
 
Yohana 17:17 SUV.
Uwatakase kwa ile kweli; neno lako ndiyo kweli.

Yohana 8:32 SUV.
Tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.

Yohana 14:6 SUV.
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima;

Dini sio njia, kweli na uzima, YESU KIRSTO ndiye.
 
Warokole ni watu wa ajabu sana yaani wao kila wanacho ambiwa na mchungaji wao wanameza tu bila kufikilia.

Mm katika wanyama ninao wapenda ni mbwa na paka ,mbwa ni mnyama mwenye urafiki wa kweli ,ila paka ana urafiki wa masilahi na anajipenda yeye kwanza kabla ya kukupenda ww [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].
 
Nakubaliana na wewe mkuu!
Paka ana upendo wa masilahi yake kwanza, yeye akishiba anatafuta kochi lipo wapi hapo utamuona tena.

Mbwa Ana upendo ambao sijawahi ona kwa viumbe wengine, Mimi ilifikia extent akisikia hata watu wanapiga zile kelele za kucheka anakuja kuniangalia nje. ajabu zaidi ni anaweza kukuangalia usoni akafahamu upo na mood gani kwa wakati huo.

sijawahi kujutia upendo wa mbwa yupo radhi afe kumlinda anayempenda.
 
Sawa ndugu mfuga mapaka nimekuelewa😀😀
 
Mbwa hapana. Mbwa kapewa binadamu kama mlinz wa fiscally things na spiritual thing's hasa usiku. Mbwa ana uwezo wa kuona jini na kubweka
Ndo usikae nae ndani mbwa.
 
Sawa ndugu mfuga mapaka nimekuelewa[emoji3][emoji3]
Huna akili kila saa kuwaza kurogwa alafu mm sio mfugaji wa myama yeyote nyumbani kwangu, mm nilicho kifanya hapo ni kukutoa huo ujinga ulio aminishwa na mchungaji wako.

Watu washindwe kuroga watu wa maana waje kukuroga mtu anaye nuka umasikini kila hahali ?
Ww umenikumbusha mzee mmoja jirani yetu aliye wafukuzaga watoto wake 2 nyumbani kwa kuwatuhumu kuwa wana mroga baada ya kuambiwa hivyo na mchungaji sasa na ww unaelekea huko.

Urokole ni tatizo kubwa ndani ya nchi hii unatakiwa kudhibitiwa.
 
Damu ya Yesu haichanganywi na maelekezo ya kutundika unyoya wa tausi wenye macho kufukuza mijusi,

Ukiamua njia ya Yesu kaa hiyo hiyo, na ukiamua kwingine Baki huko.

Kuchanganya Mungu na miungu ni kujitafutia matatizo.

Ubarikiwe
 
Kuokoka ndio nini mkuu?
Kuokoka ni kurudisha uhusiano na Mungu kupitia Yesu ambaye ni MUNGU aliyekuja katika mwili wa mwanadamu Ili kuuokoa Ulimwengu.

Kuokoka ni Kuzaliwa mara ya pili na kubatizwa Kwa ubatizo wa moto wa Roho mtakatifu.

Kuokoka ni kupewa nafasi ya kuitwa mwana wa Mungu.

Kuokoka ni kumkiri Yesu Kristo kuwa ni BWANA na Mwokozi wa maisha Yako.

Kuokoka ni kuishi maisha ya utakatifu.

Amen
 
Jikite kwenye mada.

Halafu kama kitu hukielewi au kukiamini, usitake Kila mtu afikiri na kuamini sawasawa na unavyoamini.

Hujalazimishwa kusoma thread, wapo watakaosaidika wasomapo ujumbe huu ambao umenyooka.

Ubarikiwe.
 
Ulokole una uraibu wa ajabu sana
Nina ishi huko
Mojawapo ya vitu ambavyo walokole wanatakiwa wasaidiwe waachane navyo ni ujinga
Etii tusifuge mbwa wala paka mwishoni utatuambia tusifuge pia ng'ombe na mbuzi

Kule Kenya walokole kibao wamekufa kwa sababu ya mafundisho ya kijinga
Hapa Tanzania walokole wengi wana uziwa maji ya upako, vitamba vya upako, mchanga wa upako Nk.
Na bado mateso yapo palepale
Walokole wengi wanaangamia kwa kukosa maarifa na maarifa ni Neno sahihi la Mungu ambalo alijaghoshiwa.
 
Mleta mada una kiwango gani Cha elimu. Nakushauri ujifunze tabia za viumbe walio karibu na binadamu. Halafu huoni aibu kuamini dini zilizoletwa Kwa njia ya kuwafanya mababu zetu watumwa?
Jifunze wewe Elimu Dunia ulete findings.

Mimi nikupe Elimu origino ya ELIMU ya Rohoni katika Ulimwengu wa Roho Kisha tusaidiane, ingawa Elimu hizi zinapingana.

Karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…